Mtizamo: Let love lead the way

Daughter haya maswali yako haya yamekwenda shule ......sipati picha kuacha kuchimbua ule utundu wa kubana na kuachia loh........ila Babu kasema Love kulead the way maana yake ni kuwa uyafanye hayo yote kwa kigezo cha LOVE na si kwa kigezo cha kumfanya akuone wewe ndie wewe peke yako mwe!! ngumu eh?!

Aaaha nimeanza kuelewa
ila ngumu aisee,si nafikiria ukiyafanya kwa kigezo cha love ndio nia yako akuone wewe ndio wewe au?
mmmh sielewi

Mjukuu hakuna aliekataa hayo, ndo maana tunasema kama love itakua inalead the way hapo kwenye RED ndio inapelekea ulete joke, upendo nakadhalika! yaani unafanya kitu kutoka moyoni kabisa wala ile umpendeze mwenzio. Maana watu tunaposema "lets love lead the way" hatumaanishi kwamba hakuna vitendo la hasha Mjukuu!

Mengine hatufanyi kutoka moyoni lol! kama mi napenda sana chips sa chips nazo ukiendekeza tambi hilo, naamua kula vijiugali kidoogo na mboga za majani kibao mwe! nimiacha kunywa biya na savana nagida valuu na konyagi kwani nimesikia biya zinaleta vitambi we unafikiri kunywa konyagi bada ya biya laini ni kupenda kimey? No kwa kweli najitesa tu ili mupenzi aendelee kuniona bado bado wamo lol. Huu kwa kweli si wajibu bali kupalilia penzi.

Asanteni na kwa herini nishaanza kuumwa hapa.

Aaaha nimeanza kuelewa
ila ngumu aisee,si nafikiria ukiyafanya kwa kigezo cha love ndio nia yako akuone wewe ndio wewe au?
mmmh sielewi

Hapo sasa Daughter, Hapo ndipo haswa kwenye utata maana nimeuliza unapoyatekeleza hayo wanayoyaita majukumu, lengo huwa ni nini?? Nasubiria wacolumbia hawa waambke wanijibu! Leo nalinja JF

Wapendwa wana MMU.....!

habari za muda kidogo!?nimewamisoooooooo mpaka natetemeka.

baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kidogo mtiririko wa matukio na mabandiko katika jukwaa hili ''mama'' la jamiiforums,nimedhani ni muhimu na mimi kama mwana MMU nikatoa ushauri wangu mdogo tu......!

Ninashauri tungeacha mapenzi yakatafuta njia na yakatuongoza pale ambapo kila wapendanao wanatamani kupafikia.....!

I mean let us ''BE WHAT WE ARE''...and we let ''love'' lead us where we wanna be...!

''KIONJO KIMOJA TU CHA ZIADA KUTAKA KULILINDA PENZI/KULINDA NDOA-kitakuumbu"

ahsanteni sana wakuu

DON'T TRY THIS AT HOME,AT SCHOOL OR IN COLLEGE,....
why,...
kwa sababu ni vionjo hivo hivo ndivyo vinakufanya uwe mbunifu katika
mapenzi na hivyo kuitunza ndoa yako.
Ukibaki tu kuwa zoba bila kutafuta vionjo basi utaipoteza ndoa au mahusiano uliyo nayo.

All i can say ni kwamba,"kionjo" kama ulivo elezea kwenye sentensi moja tu
ni tungo tata,....hadi itakapo elezewa zaidi,...wanandoa na wana mahusiano endelezeni vionjo
bora tu visiwe vinampa shetani utukufu.

Nakubaliana na Asprin kwa kiasi kikubwa kuhusu uwepo wa penzi moyoni! Swala la kupikiwa chakula ni kitu kidogo tu, kimekuzwa na jamii ili mwanamke aishie kuwa housewife! Nimeona ndoa nyingi ambapo mke anakuwa perfect kama jamii inavyomtegemea na bado zavungika!

Pia nimeshuhudia ndoa nyingi ambazo mke anakuwa herself na mume anamkubali kwa kuwa amenpenda jinsi alivyo! Kina mama tukianza kuishi jinsi tunavyoweza na si jinsi tunavyopaswa disappointment zitapungua, kwani hatutumii nguvu za ziada kuwa other people!

Naamini ukipenda na ukijiamini, no matter what happen utashinda tu! Amini there is nobody like u because it is an absolute truth.

Daughter haya maswali yako haya yamekwenda shule ......sipati picha kuacha kuchimbua ule utundu wa kubana na kuachia loh........ila Babu kasema Love kulead the way maana yake ni kuwa uyafanye hayo yote kwa kigezo cha LOVE na si kwa kigezo cha kumfanya akuone wewe ndie wewe peke yako mwe!! ngumu eh?!
MJ1 unapofanya kitu kwa "love' wala hutumii nguvu kabisa!

wakuu....!

tukienda kinyume na utaratibu wa kawaida wa kuyaacha "maji yafuate mkondo wake"....hatuweze kufanikiwa....

huo ni ukweli mchungu

Mengine hatufanyi kutoka moyoni lol! kama mi napenda sana chips sa chips nazo ukiendekeza tambi hilo, naamua kula vijiugali kidoogo na mboga za majani kibao mwe! nimiacha kunywa biya na savana nagida valuu na konyagi kwani nimesikia biya zinaleta vitambi we unafikiri kunywa konyagi bada ya biya laini ni kupenda kimey? No kwa kweli najitesa tu ili mupenzi aendelee kuniona bado bado wamo lol. Huu kwa kweli si wajibu bali kupalilia penzi.

Asanteni na kwa herini nishaanza kuumwa hapa.
Maty hebu nisome hapa chini

Yeah na hii sacrifice ukiifanya kwa "love" inapendeza zaidi, maana wengine wanafanya sacrifice hizi kwa unafiki tu .na inapelekea wanaumia sana moyoni mwao!

Nakubaliana na Asprin kwa kiasi kikubwa kuhusu uwepo wa penzi moyoni! Swala la kupikiwa chakula ni kitu kidogo tu, kimekuzwa na jamii ili mwanamke aishie kuwa housewife! Nimeona ndoa nyingi ambapo mke anakuwa perfect kama jamii inavyomtegemea na bado zavungika!

Pia nimeshuhudia ndoa nyingi ambazo mke anakuwa herself na mume anamkubali kwa kuwa amenpenda jinsi alivyo! Kina mama tukianza kuishi jinsi tunavyoweza na si jinsi tunavyopaswa disappointment zitapungua, kwani hatutumii nguvu za ziada kuwa other people!

Naamini ukipenda na ukijiamini, no matter what happen utashinda tu! Amini there is nobody like u because it is an absolute truth.

asante

kimey endelea na wakinamama hawa...!sisi tunasinzia na baadae utatupatia kijiti tuendeleze mbio!....

lakin msimamo ule ule....let love lead the way!

mim kuna siki nikiwa hapo tz eneo la iringa mjini....!katika mazingira ambayo nimweleza nyumba ndogo wangu kwamba "my wifey is back...please don't call me"...ni kama nilimwambia aongeze kasi ya kupiga sim...sasa wife akiweka skuna kwenye VVTI kwa nyumba ndogo kama hii utasolve nin?

let love lead the way...

gdnt

Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!

Hahahahahah....khaaaa Babu.....! (Ila kuna kaukweli hapo...ila ya kwangu haijanishinda naomba kuwa mwl wa vibinti vyako...lol)

Great insight.... Qn. Do you think those spouses who fall out of LOVE should be blamed?? Kua wamefanya uzembe mpaka there is NO Love...

Inategemea na sababu kwanini amefall out of love..., kama sababu ni abuse, mwenza wake kubadilika tabia au kuacha kumjali basi yule aliyebadilika kitabia ndio wa kumlaumu..., na sio alie-fall out of love sababu ya kuwa mistreated

Sababu hata uvumilivu sometimes una kikomo chake...., Lakini mara nyingine watu wanaingia katika tamaa sababu ya kujiweka kwenye kishawishi, au kudhania kwamba fulani ni better kuliko alienae ingawa baada ya kukaa nae ndio anagundua kwamba they are all the same.

kimey endelea na wakinamama hawa...!sisi tunasinzia na baadae utatupatia kijiti tuendeleze mbio!....

lakin msimamo ule ule....let love lead the way!

mim kuna siki nikiwa hapo tz eneo la iringa mjini....!katika mazingira ambayo nimweleza nyumba ndogo wangu kwamba "my wifey is back...please don't call me"...ni kama nilimwambia aongeze kasi ya kupiga sim...sasa wife akiweka skuna kwenye VVTI kwa nyumba ndogo kama hii utasolve nin?

let love lead the way...

gdnt
Mufalme naona hommie Kimey ameishaiva ana shusha nondo za uhakika hahaha

kimey endelea na wakinamama hawa...!sisi tunasinzia na baadae utatupatia kijiti tuendeleze mbio!....

lakin msimamo ule ule....let love lead the way!

mim kuna siki nikiwa hapo tz eneo la iringa mjini....!katika mazingira ambayo nimweleza nyumba ndogo wangu kwamba "my wifey is back...please don't call me"...ni kama nilimwambia aongeze kasi ya kupiga sim...sasa wife akiweka skuna kwenye VVTI kwa nyumba ndogo kama hii utasolve nin?

let love lead the way...

gdnt
hahahaha na sie huku jua ndo linatoka kwa hiyo ntaenda nao tu taratibu mpaka wataelewa,!!
Mi nawaambia "hakuna raha ya penzi if you let "love" leads the way"!!
Maana hata kama nikitoswa sitakua na maumivu kabisa!!

Inategemea na sababu kwanini amefall out of love..., kama sababu ni abuse, mwenza wake kubadilika tabia au kuacha kumjali basi yule aliyebadilika kitabia ndio wa kumlaumu..., na sio alie-fall out of love sababu ya kuwa mistreated

Sababu hata uvumilivu sometimes una kikomo chake...., Lakini mara nyingine watu wanaingia katika tamaa sababu ya kujiweka kwenye kishawishi, au kudhania kwamba fulani ni better kuliko alienae ingawa baada ya kukaa nae ndio anagundua kwamba they are all the same.

VOR nilikupata vilivyo.... hasa katika post ulopost kabla hujapost hii niloku quote... (post # 90).. The insight umetoa says it all.... it is not that simple.. kwamba as long as you love wee u-relax ukitegemea everything will sort it self... Hata kama the person in question is your spouse...

Inategemea na sababu kwanini amefall out of love..., kama sababu ni abuse, mwenza wake kubadilika tabia au kuacha kumjali basi yule aliyebadilika kitabia ndio wa kumlaumu..., na sio alie-fall out of love sababu ya kuwa mistreated

Sababu hata uvumilivu sometimes una kikomo chake...., Lakini mara nyingine watu wanaingia katika tamaa sababu ya kujiweka kwenye kishawishi, au kudhania kwamba fulani ni better kuliko alienae ingawa baada ya kukaa nae ndio anagundua kwamba they are all the same.

Hapo RED nakubaliana na wewe........

Off-topic: hope wewe u mzima!

Inategemea na sababu kwanini amefall out of love..., kama sababu ni abuse, mwenza wake kubadilika tabia au kuacha kumjali basi yule aliyebadilika kitabia ndio wa kumlaumu..., na sio alie-fall out of love sababu ya kuwa mistreated

Sababu hata uvumilivu sometimes una kikomo chake...., Lakini mara nyingine watu wanaingia katika tamaa sababu ya kujiweka kwenye kishawishi, au kudhania kwamba fulani ni better kuliko alienae ingawa baada ya kukaa nae ndio anagundua kwamba they are all the same.

Mkuu VoR...Sometimes hakuna hizo sababu...moyo una hama kabisa japo mwenzio waona hajafanya lolote baya...basi unaishia kumuonea huruma tu...let love lead the way...

Back
Top Bottom