Mtanzania Bingwa wa Dunia

Mtanzania Bingwa wa Dunia

unasema nini?? yaani tena alilewa ila mbaya mcheki hapa na hapo alikwa anaenda kugonga 3some chezeya FaizaFoxy wewe??

MITUNGI.jpg

Sasa hapo nimelewa au nnadeka tu, ningelewa si nigeidondosha hiyo chupa? Hizo ni "swaga" tu. Kwani wewe ulikuwa umelewa siku ile?

Halafu naona wewe hujabebwa hapo wivu umekujaa unataka kujiingiza mpaka kwenye kwapa. Yatakushinda!
 
hata makombo ntakula mie, kwani shida! wewe kubali tu

huyu mbona ukienda nae sawa atakubali umwoe hata kwa kesha moja la usiku??
hapo alipo anaona bahati ya mtende atiii.................
 
Mkuu sio upendo tu Wagalatia wako focused sana na maendeleo, wasi wasi wangu tukiwakabidhi akina FaizaFoxy huyo kijana atepekekwa kuwa mpiga dufu na kipaji chake ndio kitaishia hapo

Kama vile diamond sio?
 
Sijakusikia vizuri, unasema eti juzi FaizaFoxy ulikua unapata nae kitimoto? Hapana bhana you are not serious, hahahhaaa na kiroba faiza anagonga? tena kavu? hapana siamini

Ooh tulikuwa tunapiga nae wote kwanini hamuamini kuna mgala anasema uongo?
 
Mpe hongera basi.
Di nimempa HONGERA zake huyu kijana mm nilidhani kamba imenasa mguuni kumbe ndio mchezo wenyewe kweli Watanzania nasi tumo. Mpira wa miguu vijana wetu wanavimba vichwa sana bora tuanze kuwalea vijana km hawa.
 
hahaahhhhaha!!!!!!!!!!!!!!
aHALOOOOOOOOOO YA FaizaFoxy ????...................tutamsema mchana usiku tutalala??? ebwanaeee ................hii imekaaa poa kimtindo.

BTW leo shostito swaumu yako ITA-SWIII?
maskini weee kawa mpole ghafla, akome
 
Sasa hapo nimelewa au nnadeka tu, ningelewa si nigeidondosha hiyo chupa? Hizo ni "swaga" tu. Kwani wewe ulikuwa umelewa siku ile?

Halafu naona wewe hujabebwa hapo wivu umekujaa unataka kujiingiza mpaka kwenye kwapa. Yatakushinda!

yanishinde mara ngapi shosti??
vipi sasa leo sasa sita utakula nini manake asbh ushangongelea kiti moto mchana utapenda ule nini??
halafu eti Elli anataka akuoe kwa kesha moja tu la usiku naomba umkubalie basi shostito?? manake kaahidi kututpeleka pale nyuma ya TRA kula mishkaki ya kiti moto ama pale shekilango.
 
Last edited by a moderator:
kabla ya kuingia geto lazima nimwage mifupa ya kutosha asije kuniachia majini yake mie.....ila huyo hadi avue ya kwanza, ushungi, sijui nini, ifuatiwe na nini tena sijui, hadi nije kufika hukommmmmm nshakinai tayari
huyu mbona ukienda nae sawa atakubali umwoe hata kwa kesha moja la usiku??
hapo alipo anaona bahati ya mtende atiii.................
 
haya mama, umeshinda wewe, nitakununulia zawadi ya kitimoto baada ya mfungo

kwa FaizaFoxy usisubiri mfungo uishe huyu hata asbh hii mbona analegeza swaumu yake tu??
mm nishampa chai na rosti la kitimoto mchana ndo sijajua nitampa nini ila Elli shemeji yake kakubali kumpeleka kula mishkaki ya kiti moto.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Ahhhhh FaizaFoxy, sikulitegemea hili litoke kwako.... Ukizingatia kuwa nchi yetu huwa tunawatambua watu wakishawini... We cheki akina Hasheem na wengine.... Umenisikitisha sana na ulivyomalizia post yako
 
hahaahhhhaha!!!!!!!!!!!!!!
aHALOOOOOOOOOO YA FaizaFoxy ????...................tutamsema mchana usiku tutalala??? ebwanaeee ................hii imekaaa poa kimtindo.

BTW leo shostito swaumu yako ITA-SWIII?

Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete juzi amekutana na mtoto wa Kitanzania ambaye ni Bingwa wa Dunia wa mchezo wa kuruka kamba, Hamisi Kondo mwenye umri wa miaka 14.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, mbali na kukutana na Rais, Kondo na wenzake pia walifanya maonesho ya mchezo huo kwa Kikwete ambaye amefurahishwa na vipaji vya watoto hao wa Kitanzania
.Taarifa hiyo ilieleza kuwa Rais Kikwete amekutana, na Kondo pamoja na washiriki wengine waliounda timu ya Tanzania iliyoshiriki katika Michuano ya Dunia ya Kuruka Kamba iliyofanyika Florida, Marekani kati ya Julai 5 hadi 13, mwaka huu ambapo nchi 14 zilishiriki.Mbali na Tanzania, nchi nyingine zilizowakilisha Bara la Afrika katika mashindano hayo ni Afrika Kusini na Kenya. Miongoni mwa nchi nyingine duniani ziliwania medali katika michuano hiyo ya Dunia ni Marekani yenyewe, Canada, Ufaransa, Ujerumani, Mexico na Japan.
Kondo, ambaye alilelewa kwa muda katika Kituo cha Watoto Yatima cha Dogo Dogo Center cha Dar es Salaam, sasa anasoma katika Shule ya Msingi ya Seaside Catholic School, mjini Seattle, Jimbo la Washington ambako mwezi ujao anatarajiwa kuingia darasa la saba.
Mtoto huyo ambaye anaondoka nchini leo kurejea Marekani, aliondoka nchini mwaka jana baada ya kuwa ameonesha kipaji kikubwa katika mchezo wa kuruka kamba.
Kabla ya kwenda Marekani alikuwa ameshinda ubingwa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki katika mashindano yaliyofanyika mwaka 2010 mjini Mombasa, Kenya.
Taarifa hiyo ilieleza kwamba kwenye ujumbe huo uliokutana na Rais Kikwete, alikuwepo pia Mama Amy Kennedy ambaye yeye pamoja na mume wake, Dennis Kennedy ndiyo wafadhili wakuu wa Kondo na wanamiliki moja ya sehemu bora zaidi za kufanyia mazoezi duniani.
"Ni wafadhili hao waliomtafutia Kondo shule kule Marekani na wanaendelea kulipia gharama za masomo yake, kugharamia mazoezi yake, kulipia gharama zake za usafiri kwenda kwenye mashindano mbalimbali," ilisomeka sehemu ya taarifa hiyo.
Wafadhili hao ndiyo waliisafirisha timu ya Tanzania, kwenda kushiriki katika mashindano hayo ya Marekani ambako pia walilipia chakula na malazi ya timu hiyo.
Source: MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: KIKWETE AKUTANA NA BINGWA WA KURUKA KAMBA
 
hahahah FaizaFoxy bwana hapo bold kumbe Hamis anasoma .................................ama kweli naamini umejifunza kitu.
FYI wakristo hawanaga roho za kimaskini bana.
 
Last edited by a moderator:
kwa FaizaFoxy usisubiri mfungo uishe huyu hata asbh hii mbona analegeza swaumu yake tu??
mm nishampa chai na rosti la kitimoto mchana ndo sijajua nitampa nini ila Elli shemeji yake kakubali kumpeleka kula mishkaki ya kiti moto.
Astakafururahii, ngoja nimwambie mtu wa kitimoto aandae kwa ajili ya jioni maana naona mchana umeshamalizana naye, ila naomba akija hapa FaizaFoxy kutema cheche unitete mie nmejificha
 
Last edited by a moderator:
hahahah FaizaFoxy bwana hapo bold kumbe Hamis anasoma .................................ama kweli naamini umejifunza kitu.
FYI wakristo hawanaga roho za kimaskini bana.
gfsonwin naomba unisaidie kumuuliza huyo mwanamke mwenzio Faizafoxy ni kwanini huyo kijana Khamisi Kondo hasomi kwenye islamic school? na badala yake anasoma kwenye shule ya wagalatia???
 
Last edited by a moderator:
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Wee toa ujinga wako wa udini hapa. Kwani nani anaufuatilia mchezo huo hapa nchini ambapo unaonekana ni mchezo wa watoto. Watu kama wewe wanaoangalia kila kitu kwa mtazamo wa udini kama issa ponda ndio mnaoleta shida nchini. Kuacha huo upuuzi wako hakika mohamed amefurahisha na kuletea taifa heshima ndio maana amepewa heshima kupokewa na rais wa jamhuri.
 
Back
Top Bottom