mujusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 237
- 58
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Hivi hamuoni aibu kushabikia mambo ya udini katika maswala yasiyo ya Kidini. Hivi taifa hili mtalipeleka wapi na mambo haya ya kidini? Mbona Sister Jean alipomoukota mtaani huyu kijana hakutizama jina wala dini yake na mpaka leo kamuwezesha kuliletea sifa taifa na yeye mwenyewe?
Hivi kwani unajua kwa uhakika huyu Hamisi ana imani na dini gani?