Bibilia ingeruhusu ningekula.
Mkuu sio upendo tu Wagalatia wako focused sana na maendeleo, wasi wasi wangu tukiwakabidhi akina FaizaFoxy huyo kijana atepekekwa kuwa mpiga dufu na kipaji chake ndio kitaishia hapoKumbe WAgalatia wanaupendo kiasi hicho...Hongera Sister kwa kukuza kipaji cha Hamisi.
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Ohh ahsante, tamu sana, umepika wewe hii?
Hivi hii nyama ya nini mbona tamu hivi? Nguruwe? hivi bibilia inaruhusu enh?
Acha udini wewe chambafu kafrr.
unasema nini?? yaani tena alilewa ila mbaya mcheki hapa na hapo alikwa anaenda kugonga 3some chezeya FaizaFoxy wewe??
![]()
Hahahahhaaaaa DFada you mdae my Day kwi kw kwi kwi hahahahahaaaa duh, mbona kama hio nguo kailowanisha? halafu saa hizi kafunga ushungi anamdanganya nani sasa?
hapa si anatuzuga tu huyu??
halafu ujue FaizaFoxy ni dume?? huwaga namshangaa kwann anatokelezea na shungi yaani simwelewagi kabisaa??
tukitaka hii yali ya nyinyi kujisikia wanyonge siku zote ni nyinyi kuwapeleka watoto wenu shule badala ya watoto wenu kusoma masomo ya dini ambayo kimsingi ni mafundisho ya kimapepo. Someni elimu dunia muache kulalamika na kujiona wanyonge.Hivi udini ndio nini?
ataacha kukimbia?? chezea mtu mbaguzi wewe??kakimbia mwenyewe, akome, fisi mumaji huyu, Pongezi zako mwaya Kijana wetu Khamis Kondo.....
Ninahisigi the same, na naamini yuko hivyo au kama sivyo basi atakua ni shemale....maana mmmhhh
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Wacha wacha waseme, mtasema mchana ooh na usiku mtalala.