Mtanzania Bingwa wa Dunia

Mtanzania Bingwa wa Dunia

Hivi ndugu, unafahamu madhara ya hicho unachokifanya humu?

Yani unaanzisha timbwili la udini from nowhere yani?

Unaelewa kweli madhara ya migawanyiko ya kidini kwenye jamii?

Migawanyiko mara ngapi? prove me wrong kwa kumpongeza kijana Hamisi Mohamed Kondo.
 
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?

ondoa hizi post ambazo zinaleta hisia za udini, uwe unafikiria kama mtanzania na sikama mwislam au mkiristo
 
kwa hapo bold umeharibu sana na tena unafaa kufugwa jiwe shingoni utupwe mtoni manake watanzania hatuko wabaguzi kama wewe.

Otherwise: Hongera sana Mwanangu Hamisi
 
Mi nimemfagilia kwelikweli ila dada ukianza kuleta Mambo ya MSIKITI kwenye hili utaharibu sana kwani unapandikiza ambacho hakipo miyoyoni mwa watu. Kumbuka Hashim Thabit ni Mwisilamu na hamna anayemchukia au ku dispute au ku undermine talent yake bali tunamjua kama mtanzania mwenzetu na hata Hamisi tunamchukulia hivyo.
Haya siyo Mashindano ya kusoma QURAN useme wakristo hawana stake. Jitahidi ku argu neutrally si kila wakati unataka kuonyesha Mnaonewa!!!!
 
Duh! Ndo maana najiulizaga hivi hizi futurisha zingekuwa zinafanywa na pande ile nyingine kungekalika kweli?!. Nyimbo tu kwenye simu Kasheshe! Yaani ni kulalamika hata kwa mambo ambayo hayana msingi eti sababu anaitwa Hamisi!!!!!!!!!!????. Jamani!!!!!
 
wewe ni mdini usiyefaa katika jamii yetu. na sumu y unachokipanda itaanza kukumaliza wewe kabla ya kugeukia wengine.
 
Hapa ni fb? hivi unafikiri kila mtu anakwenda huko fb? umechelewa.

Hivi wewe kwa akili yako uko hapa ili upendwe? unanchekesha.
Hicho ndo kinakutofautisha na wengine. Mtoto pekee ndo anakataa chakula kwa kuona sisimizi mmoja Kanata kwenye sahani
 
Labda mtoto wa kwenu huyo, mtoto wa kwetu anajuwa kuwa sisimizi ni dawa ya tumbo.

Mpongeze huyo kijana kaipaisha Tanzania.
 
wewe ni mdini usiyefaa katika jamii yetu. na sumu y unachokipanda itaanza kukumaliza wewe kabla ya kugeukia wengine.

Hivi wewe ni dini ipi na nani Dunia hii asiye na dini?
 
Duh! Ndo maana najiulizaga hivi hizi futurisha zingekuwa zinafanywa na pande ile nyingine kungekalika kweli?!. Nyimbo tu kwenye simu Kasheshe! Yaani ni kulalamika hata kwa mambo ambayo hayana msingi eti sababu anaitwa Hamisi!!!!!!!!!!????. Jamani!!!!!

Untilie nyimbo za kanisani kisa nini nisilalamike?

Mpongeze basi.
 
Mi nimemfagilia kwelikweli ila dada ukianza kuleta Mambo ya MSIKITI kwenye hili utaharibu sana kwani unapandikiza ambacho hakipo miyoyoni mwa watu. Kumbuka Hashim Thabit ni Mwisilamu na hamna anayemchukia au ku dispute au ku undermine talent yake bali tunamjua kama mtanzania mwenzetu na hata Hamisi tunamchukulia hivyo.
Haya siyo Mashindano ya kusoma QURAN useme wakristo hawana stake. Jitahidi ku argu neutrally si kila wakati unataka kuonyesha Mnaonewa!!!!

Mpongeze huyo kijana wacha maneno mengi. Mkishikwa patamu huwa mnalo la kusema na kujitetea. Watende wao wakitenda wenzao huwa mwao.
 
kwa hapo bold umeharibu sana na tena unafaa kufugwa jiwe shingoni utupwe mtoni manake watanzania hatuko wabaguzi kama wewe.

Otherwise: Hongera sana Mwanangu Hamisi

Angeipataje hongera yako?
 
ondoa hizi post ambazo zinaleta hisia za udini, uwe unafikiria kama mtanzania na sikama mwislam au mkiristo

Uislam kwanza Utanzania baadae, kwanza huu Utanzania mie nilipachikwa tu, mie Mtanganyika niliyenyang'anywa uraia wangu bila kushauriwa.
 
Faiza utakua una matatizo ya kisaikolojia, hongera hazitolewi kwa minajili ya dini ya mtu at, maana hata hao wafadhili najua si wa dini yake...bisha! Nadhani turudi kwenye mada ya kumpongeza tu na sio vinginevyo, usijishtukie hivyo bhana, unaboa
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
 
Hivi wewe ni dini ipi na nani Dunia hii asiye na dini?

wengi wetu tuna dini ingawa wapo wapagani kama Mtambuzi lkn hatubaguani kwasababu ya dini, kabila ama rangi.
wewe unataka tubaguane nashidwa kujua akili yako huwaza nini wakati mwingine as a matured person.

na watu wa hivi ndo Mungu huwa anawaeleleza mpaka basi manake unashtukia mwanao binti anakuletea mchumba wa kikristo na tena ana mimba yake sijui utaeka wapi uso wako na ivi huwapendi.
 
Last edited by a moderator:
Faiza ukoje lakini? Tulia kwenye mada moja basi, umeshaanzisha mada tatu ndani ya mada moja kuu, tumpongeze m'bongo mwenzetu hayo mengine utayanzishia thread zao pia. Unaonaje wazo langu?
Uislam kwanza Utanzania baadae, kwanza huu Utanzania mie nilipachikwa tu, mie Mtanganyika niliyenyang'anywa uraia wangu bila kushauriwa.
 
Angeipataje hongera yako?
na sijampa hongera kwasababu ni mwislamu ila nimempa kwasababu anastahili hongera kwa kushinda.

BTW hivi una mtoto wa kike wa miaka 15+?? wallah nataka Klein wangu amuharibu ili nione wewe na huo uislam wako utafanyeje...................
 
Back
Top Bottom