Acha hasira FaizaFoxy hapo sasa zile hisia za kidini naona zinakutawala, kiukweli huyu kijana ametutoa kimasomaso maana hakuna tunachoshinda kimataifa lakini walau leo tuna cha kujivunia..Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Mwita Maranya, naomba nimsaidie huyu gfsonwin.....gfsonwin naomba unisaidie kumuuliza huyo mwanamke mwenzio Faizafoxy ni kwanini huyo kijana Khamisi Kondo hasomi kwenye islamic school? na badala yake anasoma kwenye shule ya wagalatia???
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Pamoja na mie kuwa na imani sawa na yako bidada, inaonyesha hawa ndugu zetu si wabaguzi kihivyo maana analelewa na Sister wa kikatoliki! Inaonyesha sisi ndio tunaoanzisha hii jinai. TujirudiWatanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
ni hali ya kuhusisha maswala ya kiimani pasipostahili .Hivi udini ni nini?
Pamoja na mie kuwa na imani sawa na yako bidada, inaonyesha hawa ndugu zetu si wabaguzi kihivyo maana analelewa na Sister wa kikatoliki! Inaonyesha sisi ndio tunaoanzisha hii jinai. Tujirudi
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza kijana wa Kitanzania Hamisi Mohamed mwenye umri wa miaka 14 aliyeipatia sifa Tanzania kwa kunyakua ubingwa wa Dunia wa mchezo wa kuruka kamba kwenye michuano iliyofanyika huko Orlando, Marekani, mwezi uliopita. Kijana huyo, ambaye awali alilelewa katika kituo cha watoto yatima cha Dogo Dogo Dar es Salaam, alianza kupata mafunzo ya mchezo huo ambapo alishiriki mashindano ya Afrika Mashiriki yaliyofanyika Mombasa na kunyakua Medali ya Dhahabu. Kulia ni mfadhili wa kijana huyo, Amy Canady, na kushoto kwa Rais Kikwete ni Sister Jean Pruitt, mwanzilishi wa kituo cha kule yatima cha Dogodogo Centre
[video=youtube_share;FdifkhentBw]http://youtu.be/FdifkhentBw[/video]
Dini na imani ni vitu tofauti.
Mie nipo ila nakatishwa tamaa na hawa wana JF ambao ni wanafiki wakubwa kama NAPE kwa kutetea kifo cha Tanganyika. Hii imenifanya nikae pembeni kwani mtu mzima unatetea serikali mbili, haiingii akilini. Chonde chonde kama unamjua Nape mweleze asome majadiliano hapa JF na abadilike.Hao si wana malengo, uko wapi wewe?
Kwa hiyo unaongeza migawanyiko kwa sababu tayari ipo? Hiyo ni busara kweli?Migawanyiko mara ngapi?
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Mie nipo ila nakatishwa tamaa na hawa wana JF ambao ni wanafiki wakubwa kama NAPE kwa kutetea kifo cha Tanganyika. Hii imenifanya nikae pembeni kwani mtu mzima unatetea serikali mbili, haiingii akilini. Chonde chonde kama unamjua Nape mweleze asome majadiliano hapa JF na abadilike.
yani w kichwa chako kinawaza udini tuuu kutwa nzima.kwanza umeshanifanya nikuhisi hatakufunga hujafunga..hivi leo ni mfungo ngapi vile?watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa hamisi?
Mpe hongera basi.