Mbona wewe mwenyewe haijakupa faida?
Mtu mzima kutwa kucha kila unachokiona humu unakigeuza udini udini udini.... umepagawa na udini, nenda basi Afghanistan ukaishi na Taliban uongelee udini kutwa, manake bahati mbaya hapa Tanzania imetokea kwamba kuna watu wa dini mbali mbali, na huwezi kulibadilisha hilo.
Utanambiaje mimi nikasome reverse psychology wakati wewe haijakusaidia? Hujui kuishi na wenzio bila kuwachokoa na mambo ya udini kutwa, hujui kujiheshimu Mama mzima, halafu mimi ndo nikasome psychology?