Mtanzania Bingwa wa Dunia

Mtanzania Bingwa wa Dunia

Mwita Maranya kaka yanguuuuuuuuuu???
mbona umenipa kicheko asbh hii?? khaaaa!! wiki itaenda vyema kweli hii.

Uwe na wiki njema kabisa my sister mwenyewe gfsonwin, ya nini kujitia gundu asubuhi asubuhi? halafu mtu huyo huyo eti anajidai kuwa amefunga! sasa huo mfungo au usanii?
 
Last edited by a moderator:
Duuh kumbe Ikulu unaweza kuingia hata kwa kuruka kamba! Ngoja na mimi nijisajili kwenye mashindano ya dunia ya kufukuza kuku.

Wakati wa kushindana mbinu nitakayotumia ni hii: nitakuwa navuta picha kuku wa sikukuu amekata kamba na Baba ametuambia hana hela nyingine mfukoni, tufanye juhudi akamatwe, hapo lazima nitashinda tu..
 
hahahaaa hana bajeti ya leo tena huyo, amefurahije??? Hahahaa FaizaFoxy bhana, hivi hua anatabasamu kweli??
kwa FaizaFoxy usisubiri mfungo uishe huyu hata asbh hii mbona analegeza swaumu yake tu??
mm nishampa chai na rosti la kitimoto mchana ndo sijajua nitampa nini ila Elli shemeji yake kakubali kumpeleka kula mishkaki ya kiti moto.
 
Last edited by a moderator:
na kiroba hahahhahaaaa, tumem'badlilishia topic kabisaaa katulia tuli

umeona enh!!.....................alikuwa na mada nzuri sna lkn kaiharibu kwa mineno yake ya kipuuzi.
 
Hamis oyeeeeeee!!!! Hamis Juuu....
wenye udini na maono ya kibaguzi ya kidini zzzziiiiiiiiii!!! shiindwa kabisa!!! mstake kututia nyongo wabongo wa watu tusio na hili wala lile when it comes to ishu za dini.... kwa mbongo wa kawaida kama mimi na ambao ndio the majority dini kwetu ni kitu kisichohusiana kabisaaa katika kutugawa... SO STOP RIGHT THERE, YOU whoever mwenye EVIL INTENTION!!!!
 
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?

dah...nime sikitishwa sana yani kutwa unawaza udini tu. watanzania hatupo hivyo, yani wewe ni wa kupuuzwa daima, dini zenjewe wamezileta wageni....
 
Wapendwa, Wandugu Nawasalimu wote Good day;
Attn: Bi. Faiza, Ujio wangu mwema kwako, Dadangu kubali kuwa umechafua hewa, na ubora wako ni kuomba SAMAHANI.
Kila kosa lina gharama zake Tafadhali kuwa Bingwa kwa kusahihisha yaliotokea..!
Binaadamu wote tumekirimiwa (dignity). Congratulations kwa jr. Hamisi na Hongera kwa Mabingwa wa Mustakabal.
 
dah...nime sikitishwa sana yani kutwa unawaza udini tu. watanzania hatupo hivyo, yani wewe ni wa kupuuzwa daima, dini zenjewe wamezileta wageni....

Hivi udini ni nini?
 
Wee toa ujinga wako wa udini hapa. Kwani nani anaufuatilia mchezo huo hapa nchini ambapo unaonekana ni mchezo wa watoto. Watu kama wewe wanaoangalia kila kitu kwa mtazamo wa udini kama issa ponda ndio mnaoleta shida nchini. Kuacha huo upuuzi wako hakika mohamed amefurahisha na kuletea taifa heshima ndio maana amepewa heshima kupokewa na rais wa jamhuri.

Udini ndio nini?
 
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?

Dada yangu kipenzi mara nyingine unakuwa na mawazo mazuri..ila kwa hapa naona umekuwa na mawazo finyu..
 
Back
Top Bottom