Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Sawa alikua anajishughulisha na nini? Ili tuanzie hapo haiwezi kuja tu asachiwe, auliwe kama hakuna taarifa yoyote yaani wazee waje tu?
Hata kama alikuwa anauza haramu ndy ateswe Hadi kupelekea KIfo?

Haya basi mshamuua pesa zake zipo wapi?

Mtu kakutwa ana coins kibao lakini cash kubwa hazipo na police walimtesa hadi KIfo hawapo..

Huwa inasikitisha sana Mtu jambo hulijuwi chanzo unaanza kupayuka hovyo..

Huyo Mwana ni mpambanaji kama wewe ukiwa kwenye kigenge chako Cha bodaboda.
 
Huyo namjua wala hafanyi mishe za madawa, ameuawa na Polisi wa SA tu, jamaa kapuliziwa Spray zile za pilipili na kufunikwa mfuko ndio ikawa mwisho wake.
Watz wamekiwasha sana hapo.
Polisi wa south Basi Wana kichaa,MTU hafanyi mishe mbaya wanamvamia tu wanamspry pilipili na kumfunika na mfuko na kumpiga mpaka kufaa.....Poleni sana
 
Yaani natamani nilike hii comment mara elf 10 hivi...maisha ya kukaa vijiweni na kujadili michongo tu ndo yapo. Na wakipewa kazi hawawezi. Wanasubiria dili za mamilioni. Ndo hizi sasa🥺🥺
Afu aliesema kweli wanamwita Fala.
 
Huko South dili nyingi huwa ni ngada tu, kuna mwanangu alienda kule baada ya mwaka mmoja akarudi akanunua gari na akashusha bonge la Jumba afu akasepa tena, hadi leo hapatikani tena
 
Back
Top Bottom