Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,822
- 11,570
unajua kila mtu shekilangoAlikuwa anaishi wapi maghorofani au nyumba ndogo maana me wa shekilango pia navuta picha hata simjui
unajua kila mtu shekilangoAlikuwa anaishi wapi maghorofani au nyumba ndogo maana me wa shekilango pia navuta picha hata simjui
Wabongo washenzi sana wa tabia na sababu ni wivu tu na husda zao. Uwaga wana akili mavi sana za kuwaunganisha watu wote wanaoishi nje ya nchi, wakati watu waliopo nje kila mtu na mishe mishe zake. Innallillah Wainaillah Rjioun..Yaani wanatia hasira sana hawa kenge, yaani ubingwa wa kubwabwaja humu na kulia Lia na viajira uchwara, sasa wewe kama unaona kuuza drugs ni rahisi nenda na wewe ukauze kama hutakalia chupa, salute kwa watanzania wote wa joberg mliofanya push back dhidi ya police hao wauaji, salute Youville, kempton park, Mayfair na wote wa Hilbrow, now mjitahidi baharia huyu arudishwe nyumbani ili apumzishwe kwa familia yake
Yaani natamani nilike hii comment mara elf 10 hivi...maisha ya kukaa vijiweni na kujadili michongo tu ndo yapo. Na wakipewa kazi hawawezi. Wanasubiria dili za mamilioni. Ndo hizi sasa🥺🥺Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.
R.I.P Ngwea😭Rip Masogange
Kule majuu kwa Malkia, polisi wa ngazi ya chiiiini kabisa sharti la kwanza ni LAZIMA uwe na elimu ya digrii. Hiyo ni lazima.Inaelekea hii kazi ya upolisi ni majanga dunia nzima! Ina laana gani?
Hatukatai unamjua lakini bado huwezi kuwa wewe unazijua chocho zake zote za utafutaji,wote mimi wewe na waliokuwa wanaandamana hatuna tunalolijua kuhusu yaliyojiri kwenye hiyo scene wanaojua ni marehemu na hao wapekuzi,je alipoulizwa source ya hizo hela aliweza kuzitolea maelezo?Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
KabisaKila mchuma janga, hula na wa kwao
Kwanza polisi wa kawaida uingereza hawatembei na silahaKule majuu kwa Malkia, polisi wa ngazi ya chiiiini kabisa sharti la kwanza ni LAZIMA uwe na elimu ya digrii. Hiyo ni lazima.
USA pia Wana degree ya criminal justice, ila ni majanga matupu.Kule majuu kwa Malkia, polisi wa ngazi ya chiiiini kabisa sharti la kwanza ni LAZIMA uwe na elimu ya digrii. Hiyo ni lazima.
Mkuu kwanini msiende ubalozini wa kwetu hapo sauzi? Muombe kuonana na balozi, hili suala lisiishe hivi hivi tu ..huu ni UNYAMA...tena kwa MTANZANIA ..Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Hizo process zinafanyika mkuu na wale polisi wanafahamika vile vileMkuu kwanini msiende ubalozini wa kwetu hapo sauzi? Muombe kuonana na balozi, hili suala lisiishe hivi hivi tu ..huu ni UNYAMA...tena kwa MTANZANIA ..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa pole sana kwa Ndugu na jamaa. Lakini maelezo yako yana walakini sana. Mtu atoke Disco usiku na pesa nyingi kiasi cha kufatiliwa na Polisi??Oya hapa Habar imepindishwa jamaa alikuwa disco karudi kama saa Tisa usiku police wakawa wanamsubiri nje wakachukua pesa zakena walimpiga mpaka akapiga kelele wananiua na wakamuua kweli,hayo mengine wametunga polisi walitaka pesa nyingi na jamaa haikuwa nazo