Mtanzania acha kujistress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Mediums. Kilicho mtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe pia

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,107
Simsomeshi mwanangu ili baadae aje kuwa ananipa hela. La hasha! Ninamsomesha mtoto wangu ili aweze kupata uwezo wa kujitegemea mwenyewe na kuwa responsible member of a society.

Kuwa responsible member of a society ni pamoja na kuwa useful to his or her parents or siblings in time of need like what happened to Mr.Ibu.

Watoto wake walicho takiwa kufanya ni kusimamia zoezi zima la matibabu ya baba yao.

Now see what they have done. What if kama Mr Ibu ali spend mamilioni kwenye "elimu" ya watoto wake? Probably atakuwa anatamani siku zirudi nyuma na atajilaumu why did he stress himself to pay his hard earned millions for his kids so called " education" only for them to prove their uselessness at the time when they had only one option and that is to be useful to their father.

What if kama angekuwa amewasomesha kwenye shule za serikali ambazo hazina gharama? Asinge regret sana kwa sababu asingekuwa amejistress kulipa ada ili watoto wake wasomee ujinga.

Kwako Wewe masikini wa kitanzania unae jaribu kuficha umasikini wako kwa ndugu jamaa na marafiki zako kupitia kuwasomesha watoto wako kwenye shule za English Mediums, take note. Kilicho mtokea Mr.Ibu kinaweza kukutokea hata wewe kwa namna moja ama nyingine.

Don't stress yourself. Soemsha watoto wako kwenye shule ambazo hazitakupa stress ya kulipa ada( kayumba)..

Usi idhulumu nafsi yako. Upo tayari kumlipa kila mtu kuanzia mmiliki wa shule anayo soma mtoto wako lakini wewe mwenyewe unashindwa kujilipa. Usisahau kujilipa mkuu kwa sababu eti unalipa mamilioni kwenye shule za EM. Acha huo utoto. Eat ur money. U only live once.Jiwekee akiba yako ya baadae. Watoto wako wasimamie kwenye hizo hizo Kayumba watafaulu tu kama wanavyo faulu watoto wengine kwenye shule za Kayumba ambao wamepata division one Kali tu ilhali watoto wengine kwenye shule za private wana 3na 4 na 0 na walisoma English Mediums.

Elimu haipaswi kuwa biashara inapaswa kuwa huduma.
 
Attachments

  • Screenshot_20240127-110723.png
    Screenshot_20240127-110723.png
    90.5 KB · Views: 12
  • 1706342871970.jpg
    1706342871970.jpg
    54.4 KB · Views: 14
Elimu haipaswi kuwa biashara inapaswa kuwa huduma.
Hakuna huduma ya Bure.

Huduma ya chakula ..

Huduma ya afya.

Huduma ya Malazi .

Huduma za kifedha .

Huduma ni nini? Kwa mtazamo wako

Huduma lazima ilipiwe maana huko Katika huduma zipo bidhaa Ambazo lazima zinunuliwe na watoa huduma lazima walipwe .. there is transaction going in between
 
Umeharisha, mtu mwenye pesa afu mtoto anasoma serikali namwonaga kama mwehu. Naijua Hali ya shule zetu za serikali ni umaskini tu.Lakini sio sehemu sahihi kwa Maisha ya mtoto.

Walimu hakuna discipline kabisa wanagonga watoto na hamna wakuathibu,Ali ya ufundishaji ni chini(grievances they have).
 
Hayupo Huyo mtu mwenye pesa watoto wanasoma serikali hayupo
 
It's very much perplexing to notice that for a number of years the guy has been regarded as one of the richest and influential comic actors in Nigeria with an estimated networth of $ 5 million (around TZS 13 billion). Inquisitively, the guy is now publicly complaining to have been defrauded only $ 58,000 meant to defray his medical bills by his own sons! Au alishafilisika kitambo?

Back to the topic, kama uwezo wangu utaendelea kuniruhusu kamwe sitamsomesha mwanangu shule ya Kayumba eti tu kwa sababu ya kuhofia hayo unayoyataja kila siku kwenye mada zako kuhusu public schools vs. Private schools. Shule za serikali bado zina changamoto nyingi mno.
 
It's very much perplexing to notice that for a number of years the guy has been regarded as one of the richest and influential comic actors in Nigeria with an estimated networth of $ 5 million (around TZS 13 billion). Inquisitively, the guy is now publicly complaining to have been robbed of only $ 58,000 meant to defray his medical bills by his own sons! Au alishafilisika kitambo?

Ni mtu mwendawazimu tu ambaye yupo na uwezo asimpeleke mtoto wake private, walimu wa serikali wanacheza vikoba kupeleka watoto wao private
 
It's very much perplexing to notice that for a number of years the guy has been regarded as one of the richest and influential comic actors in Nigeria with an estimated networth of $ 5 million (around TZS 13 billion). Inquisitively, the guy is now publicly complaining to have been robbed of only $ 58,000 meant to defray his medical bills by his own sons! Au alishafilisika kitambo?

Back to the topic, kama uwezo wangu utaendelea kuniruhusu kamwe sitamsomesha mwanangu shule ya Kayumba eti tu kwa sababu ya kuhofia hayo unayoyataja kila siku kwenye mada zako kuhusu public schools vs. Private schools. Shule za serikali bado zina changamoto nyingi mno.
Just do it at your own risk mkuu
 
Back
Top Bottom