Umemaliza, yaa kama mahusiano mtu anawaza blue tick, wanasubiriana nani amtafute mwenzake hakuna ukomavu hapo hawaendi mbaliKama hamjakomaa vizuri kwenye mahusiano lazima yavunjike.
Au wale wa distance relationship.WhatsApp imewekwa kwaajili ya biashara kutuma picha, video na kuwasiliana na watu waliopo nnje ya nchi nyie mnataka kuitumia kwenye mapenzi vichwa maji nyie
The generation of the most fragile animalsNi bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical.
Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano.
Hiki nimeki observe kwa upande wangu.
Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa hisia zako kwa mhusika.
Hawataki njia nyingine hadi zile za blue ticked ziwe attended.blue tick kwa siku 3 ?
Bila majibu wakati huo
Mnawasiliana kwa njia nyingine au?
Msg pendwa ni za mihamara ya Mix by Yas, M-Pesa, Airtel money hizo ndio vitu wadada wanapenda na si kumfanya kama oparetor afanyekazi ya kureply msg zako.Ni bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical.
Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano.
Hiki nimeki observe kwa upande wangu.
Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa hisia zako kwa mhusika.
Kuzuia blue tick ni kama akili ya Popo tu kujifanya ananyea mbingu, hata wewe ukitumia mtu msg hautoona blue tick.Na kina sisi wasoma text ikipopup tu kwenye screen, then baada ya kuisoma hatuifungui text, na tuliozuia bluetick mnatuweka kundi gani
Watu Wanauana𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗺𝗻𝗮𝘂𝗴𝘂𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶 𝗯𝗮𝗱𝗼?
Poleni sana, hayanaga miongozo...Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa hisia zako kwa mhusika.
Profile everyone?
Hiyo avatar si unaiona,au umelewa🎃Profile everyone?