Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

Ukishajua kuwa mwenzio ni mzito sidhani kama kuna tatizo. Tatizo ni pale mtu anapokuwa active kuchat na watu, anaweka status kila siku ila wewe anakublue tick
Hana muda nawewe alafu ukimwambia atasema ubusy wakati anapost status nyingi kama spoku za tyre za baskeli.

Mawasiliano ni nguzo muhimu sana kwenye mahusiano ila wengi hupuuzia.
 
Kuzuia blue tick ni kama akili ya Popo tu kujifanya ananyea mbingu, hata wewe ukitumia mtu msg hautoona blue tick.

Sasa swali dunia inakuhitaji wewe zaidi au wewe ndio unahiitaji dunia zaidi? Ukipata jibu utajiona ni mjinga tu.
Mkuu, wengine huwa hatujisikii vizuri kabisa kumbluetick mtu, na sio kila meseji inakuwa ya kujibu, hivyo unaona bira kusomea mafichoni tu, Vingine ni lazima uchukue muda kuvijibu.
 
Back
Top Bottom