Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

Pia bila mitandao kama WhatsApp wanaume wengi hawawezi kuomba picha au nudes. Hiyo ni changamoto kubwa mabinti na vijana mahusiano yao yanashindikana.
 
Na kina sisi wasoma text ikipopup tu kwenye screen, then baada ya kuisoma hatuifungui text, na tuliozuia bluetick mnatuweka kundi gani
Nyie muuwawe kabisa.
Mimi ukiwa na tabia hiyo siku ukinitumia sms ya muhimu sijibu nafanya kama unavyofanya ww.
 
Usiwe unafanya hivi! Hii tabia siipendi jamani, japo kuna kipindi nilikuwa namfanyia mtu! Bora umpuuze tu akikujibu kufuta ni kama unalower pride hivi..🤔
Hahaha, sema mnachukulia too personal mimi uniblue tick au usiniblue tick i don't really care.
 
Kiukweli watsapp ni komesha kwenye kuua mahusiano. Hilo sipingi. Mimi nilipigiwa video call saa 5 usiku na mchepuko ikabidi nikate simu na kuzima. Niliupoteza ule mchepuko kirashisi sana kwa sababu ya watsapp. Roho inauma 😭😭😭
Hapo whatsapp ina kosa gani? Hakuna mtandao mzuri wa kuwasiliana na mpenzi wako kama whatsapp endapo mnapendana na kuaminiana!
 
Msg pendwa ni za mihamara ya Mix by Yas, M-Pesa, Airtel money hizo ndio vitu wadada wanapenda na si kumfanya kama oparetor afanyekazi ya kureply msg zako.

Jiongeze.
Pata mwanamke anayekupenda utaona jinsi gani wanapenda kupigiwa simu na kutumiwa message!
 
Back
Top Bottom