Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

Wahi mapema.
IMG-20261014-WA0000.jpg
 
Ukishajua kuwa mwenzio ni mzito sidhani kama kuna tatizo. Tatizo ni pale mtu anapokuwa active kuchat na watu, anaweka status kila siku ila wewe anakublue tick
Ipo hivi si Whatsapp tu hata sms za kawaida na calls.

back then 2017 kuna mtu flani alibadilika sana sana..kwa bahati mbaya kama ujuavyo mapenzi yakijirudi..tukiwa tumekaa nikaomba Simu yake akiwa anaona..nikamwambia twende kwenye call logs(History) na sms..

Huko alikuwa anachati na kupigiana sana simu na hasa nyakati mimi namtafuta,hupishana dakika...hii hali ilikuwa kwa mwaka mzima ..sababu akisema ni kazi na yupo busy sana.

Haukuwa ugomvi,nilielewa vizuri sana mabadiliko yetu na nikaheshimu kuwa tunakutana na watu wapya wacheshi na wachangamfu plus pia wako na nguvu kubwa kiuchumi kushinda sisi.

Maamuzi yaliyofanyika ni kuishi kama mhusika alivyotaka kwa utulivu huo huo na kipimo kile kile
Miaka tisa sasa kila mtu ana struggle na Dunia yake,kila mmoja kafanikiwa kivyake na kila mmoja aligundua makosa yake.

Mawasiliano ni kitu kimoja hatari sana kwenye mapenzi...iwe muwe karibu au mbali..
 
Hongera kama mligundua makosa yenu mkarekebisha, ni wachache hupata nafasi hiyo
 
Maisha mafupi sana haya na shida zilizopo bado uteseke..mara nyingi UKWELI ukifuatiliwa na kuelezwa mapema huepusha mambo mengi sana.

Watu hupuuzia sana na kufichana..matokeo yake sasa mwisho yakijulikana maafa huja ghafla
 
Back
Top Bottom