The choosen one1
Senior Member
- Dec 13, 2023
- 100
- 420
Ni bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical.
Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano.
Hiki nimeki observe kwa upande wangu.
Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa hisia zako kwa mhusika.