Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

KWANZA PANGISHA CHUMBA CHA BIASHARA MWAKA @50"000*12=600"000
LIPALESENI YA GAS 70"000,,
NUNUA MITUNGI MITANOKUBWA
ORYX 5*79"000
MIHAN 5*74"000
ORYX NDOGO 5*39"000
MIHAN NDOGO 5*37000

NUNUA BURNER 5"KWA ALF 50"UTAUZA KWA 20000@
NUNUA REGULATOR 5 KWA 65"000,.KILA MOJA UTAUZA KWA 20"000
NUNUA PIPES ROLLER KUBWA MOJA 65"000,MT 40.KILA MT UNAUZA 4000
NUNUA MAJIKO 4@65"000 UNAUZA KWA 80"000
Huu ndo ushauri wa msingi!!!
 
kwa ushauri wangu hiyo hela wekeza katika taasisi za kifedha za kukuza mtaji kama vile utt pesa yako itakuwa kuna mifuko mbalimbali ya kununua hisa kadri bei ya vipande inavyvo panda ndio unapata faida na kuna mfuko ambao unatoa gawio kila baada ya miezi mitatu kama utawekeza kuanzia milioni mbili na kuna gawio kila baada ya mwaka mmoja kama utawekeza tsh milioni moja kumbuka hela yako ukiamua kuichukua unaweza ukaichukua ukitaka vilevile kuna mfuko wa umoja unaweza kuanzia elfu kumi na utawekeza kadri kulingana na uwezo wako na unapata faida bei jinsi inavyopanda na vilevile unaweza ukakopa hizo hisa ndio dhamana yako.
Kaka nitaomba maelezo zaidi kuhusu UTT
 
Wadau mimi ni Mwajiriwa,

Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.

Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.

Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Njoo Maeda bar tukuoneshe cha kufanya
 
kagera ng'ombe wanauzwa bei ya kutupa 20,000/= source mwananchi 18/10/2016, kwa kukosa malisho sbb ya ukame. kama una eneo nunua walete dar wanenepeshe kwa 3months then piga bingo yako safi kwa uchache 700,000=
 
kagera ng'ombe wanauzwa bei ya kutupa 20,000/= source mwananchi 18/10/2016, kwa kukosa malisho sbb ya ukame. kama una eneo nunua walete dar wanenepeshe kwa 3months then piga bingo yako safi kwa uchache 700,000=
Mkuu, hiyo ni laki mbili au elfu ishirini?
 
kwa tarakimu 20,000/=or twenty thousand kiinglish. Nafikiria kwenda huko soon nikipata chance.
Duuuuh! Kama ni hivyo nadhani kuna haja ya Serikali kuingilia kati kuwaokoa wafugaji na hasara kubwa namna hiyo...hapa atanielewa mfugaji au aliyelelewa kwenye mazingira ya ufugaji
Mfugaji inafikia hatua yupo tayari kufa kuliko kuona mfugo wake unakufa mbele ya macho yake...ni zaidi ya hasara hii.
 
Back
Top Bottom