Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

Richard motors
Mtafute huyu jamaa mikocheni
Wanaleta mizigo ya jumla toka China
0794 338509 uje kunishukuru mkuu
Dunia n kupendanA tukiwa hai
2.

Humu ndani tungekuwa tunapeana machimbo ya biasharaa mngetoboa wengi sana shida moja wivu......

Mwisho.mnaishia kugawana machimbo ya Anasaaa
Sijui club gani
Sijui.....lodge gan nzuri
Ndoomaana nkawauliza juzi na makaburi mazuri yako wapi muyakumbuke pia yanawasubiria
 
Nunua laptop kalii,na internet strong tu umetoboa.

Achana na maforex au makamari ya aina yoyote
 
Acha kutaka haraka, utapoteza pesa.

Nunua chupi, uza mtandaoni na tembeza mtaani.

Anza na mzigo wa laki moja.

Halafu ukiuza ndio upate hela ya kula ya siku, lasivyo kama unachota tu kila siku Ile akiba, utatafuna mtaji wote.

(Mafanikio si jambo la siku moja, unless ufanye kitu cha tofauti sana na wengi wetu hatuna huo utofauti.)
 
Wewe unajua sana siri za biashara na mtoa mada asipokusikiliza baada ya miezi 6 atarudi na uzi wa malalamiko
 
Chips

2.kama unaoata soko zuri

Tafuta src wanaponunulia cndm za China

Pita kwenye lodge...hii nakupa mchongo dadayangu anafanya na ana degree na ana wafanyakazi 7 nw...jua tu chimbo...

3.nguo
Pale.mikocheni kuna chimbo la nguo za China unaagiza mzigo unapata baada ya wiki mbili

Mkuu chupi za 2000 unanunua kwa 500

Kiatu cha kike ch 10000 unanunua kwa 2500

Kazikwako na kutakia kila la heri mjasiriamali

Hilo la chips hakikishaa n sehemu yenye mzunguko na ikikua usibwetekeenamoja ongeza nyingine uwe na ofisi kadhaa hakikisha mkeo anasimamia kama hana ajira maana n biashara nyegelezi uchelewi kutoka drw na muuza chips unahitaji mtu wa karibu sana kusimamia
Mkuu samahani hapo namba 3 wanaponunua chupi na nguo una mawasiliano yao kuna ndugu yangu fulani anatafuta hizo
 
Nenda sjui huwa ni singida ndo kuna kuku wengi wa kienyeji
Unatafuta masoko dar zen unafunga safar unaenda singida unabeba mzgo wa kuku unarudi jion dar kuuza

Kwa muda mchache utapata mtaji wa kufanya biashara ingne kubwa kiasi
 
Richard motors
Mtafute huyu jamaa mikocheni
Wanaleta mizigo ya jumla toka China
0794 338509 uje kunishukuru mkuu
Dunia n kupendanA tukiwa hai
2.

Humu ndani tungekuwa tunapeana machimbo ya biasharaa mngetoboa wengi sana shida moja wivu......

Mwisho.mnaishia kugawana machimbo ya Anasaaa
Sijui club gani
Sijui.....lodge gan nzuri
Ndoomaana nkawauliza juzi na makaburi mazuri yako wapi muyakumbuke pia yanawasubiria
Instagram wanatumia account ga????
 
2.kama unaoata soko zuri

Tafuta src wanaponunulia cndm za China

Pita kwenye lodge...hii nakupa mchongo dadayangu anafanya na ana degree na ana wafanyakazi 7 nw...jua tu chimbo...
Kiongozi naomba ufafanuzi kwenye hiyo, umemaanisha kununua condom za China na kuuza kwenye Lodge?
 
Back
Top Bottom