dsm

The Diagnostic and Statistical Manual of Mental Disorders, Fifth Edition (DSM-5), is the 2013 update to the Diagnostic and Statistical Manual of Mental Disorders, the taxonomic and diagnostic tool published by the American Psychiatric Association (APA). In 2022, a revised version (DSM-5-TR) was published. In the United States, the DSM serves as the principal authority for psychiatric diagnoses. Treatment recommendations, as well as payment by health insurance companies, are often determined by DSM classifications, so the appearance of a new version has practical importance. However, some providers instead rely on the International Statistical Classification of Diseases and Related Health Problems (ICD), and scientific studies often measure changes in symptom scale scores rather than changes in DSM-5 criteria to determine the real-world effects of mental health interventions. The DSM-5 is the only DSM to use an Arabic numeral instead of a Roman numeral in its title, as well as the only living document version of a DSM.
The DSM-5 is not a major revision of the DSM-IV-TR, but the two have significant differences. Changes in the DSM-5 include the re-conceptualization of Asperger syndrome from a distinct disorder to an autism spectrum disorder; the elimination of subtypes of schizophrenia; the deletion of the "bereavement exclusion" for depressive disorders; the renaming and reconceptualization of gender identity disorder to gender dysphoria; the inclusion of binge eating disorder as a discrete eating disorder; the renaming and reconceptualization of paraphilias, now called paraphilic disorders; the removal of the five-axis system; and the splitting of disorders not otherwise specified into other specified disorders and unspecified disorders.
Many authorities criticized the fifth edition both before and after it was published. Critics assert, for example, that many DSM-5 revisions or additions lack empirical support; that inter-rater reliability is low for many disorders; that several sections contain poorly written, confusing, or contradictory information; and that the pharmaceutical industry may have unduly influenced the manual's content, given the industry association of many DSM-5 workgroup participants. The APA itself has published that the inter-rater reliability is low for many disorders, including major depressive disorder and generalized anxiety disorder.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kuhusu Mabasi makubwa DSM, ni kero kwenye barabara za jiji.

    Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  4. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

    Za jioni wadau... Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now. Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu. Nataka kujua ni wapi kuna temple, au Kuna ma Buddha... Achana na yogist Hasa kwa Dar Nataka wale...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna baadhi ya Askari wa Barabarani huchukua taarifa za dereva na kuweka faini zaidi ya mara moja kwa kosa lile lile bila dereva kujua

    Nimekutana na changamoto na askari wa usalama barabarani (Traffic Police) jijini Dar es Salaam mara kadhaa. Kwanza, mara nyingi wanakuwa hawana mashine za kutoa risiti. Kila siku utasikia wanaeleza kuwa mashine zina changamoto, kisha huchukua taarifa za leseni na namba za gari kwa kupiga picha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule wilaya ya ilala Dsm

    Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule heka 1 kina fensi pande 3 kimepakana na barabaran kubwa za mtaa pande 3 piga 0718 408 733 hati ya serikali za mtaa mauziano kwa mwanasheria na ngazi zozote utazotaka za kiserikari nyaraka zipo kiwanja sio cha urithi
  8. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop mbovu, bei maelewano

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA NIPO ILALA - DSM 0767953873
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Ilala DSM center kabisa mil 60

    Nauza kiwanja kivule center kabisa Heka 1 Mil 60. Maongezi kidogo yapo Mark ukifika Kivule Muungano pub eneo linaitwa mnarani ndio kiwanja kilipo ni eneo lililojengwa nyumba za kifahari ukipaona utapapenda. Pako tambarare, eneo limekamata barabara kuu. 0743 257 669
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Broo/sister uchawi upo, hata DSM watu wanaroga,Mkurugenzi wa fish point Martin KOMBA alilogwa na anae Jenga biashara kama yake hapo hapo.

    Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo! JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT? Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana kwa JINA la Martin KOMBA,sijui kama hapo kijiweni alijukana kwa JINA ilo ILA naisi atakuwa...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba ina hati ya wizara inauzwa 270m Dar kitunda ukonga

    NYUMBA INA HATI YA WIZARA INAUZWA #MILLION_270 MAONGEZI IPO DSM KITUNDA UKONGA VYUMBA VITATU VYOTE MASTER SEBULE DINNING JIKO CHOO CHA PUBLICITY N.K STORE UKUBWA WA ENEO SQM 1,500 KARIBUNI SANA PG AU WHATSAPP 0718408733
  12. M

    JamiiForums Tanzania Safari za SGR siku za weekends. Watu wanachoka sana wakitoka Dsm

    Uzi na Mr Attorney Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi. Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi… Ila Train za Jumapili kurudi DOM huwa ni kisanga sana. Huwa mamanzi wanalala tu, wamechookaa hatariii… wapo hoooii bin Taaban...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka Kampuni ya VIWANJA TANZANIA posta Dsm natoa mrejesho hapa

    Leo nilikuwa Ofisi ya wauzaji wa viwanja kampuni ya " VIWANJA TANZANIA " posta mpya Mtaa wa Ohio, Nyumba ya Maarifa, ground floor. Jirani na IT Plaza, inatazamana na ATCL. unaweza kuwachek wanaviwanja sehemu mbali mbali ndani na nje ya Dsm viwanja vya biashara viwanja vya makazi sea view...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna taharuki inatengenezwa Dar? Kuna magari ya Polisi yanazunguka mitaani

    Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine. Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

    Apr 10, 2026 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA" https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero...
  16. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa hii physiotherapy kwa hapa DSM , naitafuta sana

    Wapi naweza pata wataalamu wakushtua viungo vilivyokaza kawa huyu kwenye hii video (TikTok) https://vt.tiktok.com/ZSm4c6jjn/
  17. L

    JamiiForums Tanzania Open Spaces ndani ya Jiji la DSM bado zipo?

    Kumekuwa na ubadilishwaji wa matumizi ya maeneo ya umma ya wazi kuwa maeneo ya shughuli za halmashauri.. Ni lini tutakuwa na mipango endelevu ya kulipanga jiji na kutokubadilisha matumizi ya maeneo? Mfano: Kinondoni Biafra sasa kumejengwa yard ya magari, Kinondoni Ada Estate eneo la wazi...
  18. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa Dar es salaam bei ni million 7

    wasiliana nami: +255 785825442
  20. Lagertha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
Back
Top Bottom