Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
436
Reaction score
934
Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.

Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe

Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo

Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida

Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
 
Bet ukipata odds 15 unapata m75,000,000 siku hiyo hiyo
 
Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.

Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe

Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo

Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida

Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
KUNA JAMAA YUKOMMAKUMBUSHO ANATOA VITU CHINA NIKUMBUSHE ASBH ANA MADUKA MAKUMBUSHO UNANUNUA VYA JUMLA. BEGI KIASI CHUPI KIASI NA NGUO KADHAA UTAKUJA NISHUKURUU
 
Uko mkoa gani kaka biashara hutegemea na eneo ulipo

Ninaweza kukushauli baishara ya dar wakati wewe uko mwanza

Lakini pia acha kujiita masikin na acha kuonesha dalili za kujiona mwenye hatia
Mwenye hatia nchi hii ni mama manyonyo peke yake
 
Dah! Umeongea kwa hisia sana..!!
Kitendo cha wewe kutafuta mtaji ni ushindi tosha.

Hujasema uko mkoa gani?
Lakini km upo mkoani anza kununua makoti na masweta ya mtumba zama minadani nakuhakikishia utakuza huo mtaji ndani ya muda mfupi..!! Unavyoendelea kufanya hiyo biashara lazima utapata mwanga wa biashara nyingine bila kuja tena hapa kuuliza..!!
 
Kwanza kabisa punguza manung’Uniko(yanazima baraka)asilimia kubwa ya waTz masikini wala usione kama jua linakuwakia pekee yako!
-Nenda mwanza kafanye biashara ya dagaa!
-Ukishindwa fanya biashara ya bidhaa za kimachinga kama accessories zinalipa!
-Ukishindwa nunua rangi za gel na kawaida na machine paka rangi wadada(hii biashara yangu naijua vzr pamoja na sehemu za kunua mzigo)uliza lolote!
-Au nunua balo la mtumba zunguka minadani utaona matunda
-Au tafuta meza soko kuu uza matunda ama viazi, au chochote kinachoendana na mtaji wako
-biashara ya viatu vya kike inategemea na eneo ulilopo unaweza kuanzia popote ata chini (biashara yangu pia niulize chochote)
-Vitu ni vingi kaa chini ufikirie kisha tia nia!
Anza!!
NB; pesa uliyonayo ni ndogo ukikurupuka utaanza upya!

Kila la kheri!🤝🏽
 
anatuma na mikoani.muhimu.muwasiliane then uwe na mtu dar anaenda kuwaona ofisin unatoa oda zako ukitoka China unajulishwa na utafika lini after unapigiwa njoo mzigo wako huu..Sasa usafiri anakulizia n sh ngapi anakutumia amesaidia wengi sana na ana duka sio moja somebody kelvin
 
Nguo za mtumba za kike zitakutoa

Uko mkoa gani kaka biashara hutegemea na eneo ulipo

Ninaweza kukushauli baishara ya dar wakati wewe uko mwanza

Lakini pia acha kujiita masikin na acha kuonesha dalili za kujiona mwenye hatia
Mwenye hatia nchi hii ni mama manyonyo peke yake
Uko mkoa gani kaka biashara hutegemea na eneo ulipo

Ninaweza kukushauli baishara ya dar wakati wewe uko mwanza

Lakini pia acha kujiita masikin na acha kuonesha dalili za kujiona mwenye hatia
Mwenye hatia nchi hii ni mama manyonyo peke yake
Niko kahama mkuu huku nimekuja kiutafutaji ila Kila nikiangalia Hela nayoipata hakuna Cha maana nachoifanyia zaidi sana inaishia kwenye chakula na malazi
 
Back
Top Bottom