Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

9a419584ac1cdc1906fb54953cb334f6.jpg
kaka Mkwawa hiyo.Nilikipiga advance 2003-2003 Chuo kikuu 2011-2015.Namkumbuka Mwl Makwaya Geography,Simeon wa History One.Mwl Fanta Magoli.Mwl Mayo wa History pale Mkwawa University. Mwl Titus Ombori wa Archeology.Na Madam Anna wa Geography Dp
Huyo hapo ndio wewe?
 
nimefuatilia huu uzi lkn sjatajwa ina wanafunzi mbalimbali waliokuwa wanaandamana kwenda kwa mkuu Wa shule ili niwafundishe au ulikuwa unafiki. Au hawana account humu au mambo ya kifurushi? .
 
Mwalimu Kilawe wa Ayalabe Primary Karatu Alinivalia njuga mpaka nikaacha utoro, nikanyooka. Simply she was the best teacher ever.
 
mwalimu chomo mpandapanda primary school[emoji173] [emoji173]
 
Mwl Omary na mwl Chacha kashishi s/m Geita,walikua wanachapa saana,pia walikua wanafundisha haswaaa
 
nimefuatilia huu uzi lkn sjatajwa ina wanafunzi mbalimbali waliokuwa wanaandamana kwenda kwa mkuu Wa shule ili niwafundishe au ulikuwa unafiki. Au hawana account humu au mambo ya kifurushi? .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] story za huku nyingi ni za 1990's pengine ulikuwa hujawa mwalimu...

Mtaje wewe aliyekusaidia ili na wewe utajwe
 
primary sinta wasahau walimu hawa-:
MAGAWA,MASIRU,SHILA, LWENJE;,KIULA,HINCHA,MJASIRI,MKUBWA,SHENKAMBI.
Secondari -:
KAISHOZI,CHILEWA(R.I.P)
Vyuo mbalimbali nilivyopitia-:
NOREEN HUNI, FIONA BULMAN,NOMPHUMALELO,Pdr ODILIA,Sr MARSELINE,FUSSA(R.I.P) ,LIHAYA,TELAK,
MASUMBA,JAFFU,MANTOGA,
NYEMBEKWA,MLAY
 
Back
Top Bottom