Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Namkumbuka sana mwl munis huyu mwalimu bhna alikuwa akiingia anataka asalimiwe kwa table ya 2-12..unaanza kuimba weeee mpka inaisha.yapata miaka zaidi ya kumi na mbili sasa hizo hesabu zake za table hazijawahi kunitoka hata kwa bahati mbaya..[emoji16][emoji16]huwa namkumbuka hadi nguo alizokuwa anapendelea kuzivaa,style anayoingia nayo,angle aliyokuwa anapendelea kukaa,aina fimbo aliyokuwa anatuchapia tukikosea.hahaha its very funny aisee.nakukumbuka mwl wangu n u know that.miaka mingi nakuombea.kama utausoma huu ujumbe..nakukumbusha tena mwl lzima nitarudi kusema asante kwa mara nyingine nakuahidi na namuomba Mungu anisaidie.ulinijengea msingi mzuri mno wa hesabu tangu darsa lanne na wew ndo uliyenifanya mimi kuipenda hesabu.ninashuku sana ninaipenda hesabu na yenyewe inanipenda mpka sasa.shukran mwl Munis
Mwalimu J Munis chamwino primary school acha kabisa
 
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo.

Ni mwalimu yupi alikuwa msaada sana kwako hadi umefika hapo ulipo?

Mtaje na ni vyema ukasema na shule aliyokufundisha.
Mwalimu Mawi na Boniface,bahati mbaya wote walikumbwa na sakata la vyeti feki.
 
Mwl Titus Wa Archeology pale Mkwawa university na pia Mwl Anna wa Geography,Na Msemwa wa Geography na wengine.Kazi nzuri sana
 
Mwal. Joseph Nyangi (Rest in peace)
Turwa primary school.
Na mwalimu wa Tuition.
Yeye ndie aliefanya walimu wengine wakapata mteremko kwa msingi alionijengea. I wish angekuwepo nimpe neno la Shukrani.
 
Mwalimu wangu wa somo la Kiswahili miaka shule ya msingi Mbagala mama Helen Mbweso.

Roho yake ipumzike kwa amani huko alipo.
 
Gershoom chilongani, mathematics Kirere cha ng'ombe primary school, mod physics ,mchikichini & demtatuz mathematics, mchikichini.
 
Victor George Bangdas Mkebezi Kiwanuka alinifundisha Nkilizya PS, kamanda Goddard Muruseco, Marian Saut these brightened my life.
 
Back
Top Bottom