Hahaaaaa... Ebu ifunikieKuna sehemu nimeona babaye hakujali kabisa
Majirani zangu nyie...karibu na maktaba ya mkoa hapo.Mwalimu Manoni (Biology) Uhuru Sec Shinyanga huyu jamaa ni mwisho unatamani asimalize kufundisha
Madam Kalinga (Chemistry) form two Uhuru sec hyu mama usipopenda somo lake ukaombewe
Alienitesa kuita mzazi kila siku
Mwalimu Kazabula (Mother K) Alinikoa sana huyu mama
Hah,dingi mkuda sana yuleNamkumbuka mr. Masemele mwl. Wa bookeeping pale Jitegemee! Alikuwa hachapi fimbo moja maana akaunt haita balance, ilikuwa fimbo 2,4,6 nk! Alikuwa anadai aki debit 1 lazima a credit 1 iliusitembee upande upande! Kwa kweli ilikuwa very funny.
Dogo tulikuwa wote aseeMwl Goran alinifundisha Mathematics Kahororo Secondary 1992 & 93
Nilikuwa nafikiri Math ni ngumu kumbe ndo somo raisi sana .... Ulipo Goran salam sana!
Namshkuru Mungu,, nowdayz mambo yanaenda poakweli! hope ushaolewa lakini na mambo yanaenda poa.