Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mwal Mbungu, Camil Lyimo, St. Anthony Sec. Mbagala Mungu awape maisha Marefu.
Hahaha haha daah Mr sylvester anakwambia A na B luxury Pata C tu ufike chuo [emoji23][emoji23][emoji23]... wapi Mrs Adams.. Mbungu zama zake katutandika sanah alikuwa hawapendi HGE [emoji23][emoji23][emoji23] mifano yote mibaya HGE.
 
Mwalimu silila john ,,mwalimu Wangu wa chekechea ,,mthan wakwanza nilikua wamwisho ,,,watoto wenzangu wakanicheka ,,aliniita kwake akanambia kwanza sasa asubuh uwe unakuja kwangu nakufundisha nikafanya ivo ,, tokea hapo sikuwahi toka top 2 mpaka nakua hapa nilipo.
 
Back
Top Bottom