Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Namkumbuka sana mwlm masawe alinihimiza sana nisome alinisikiliza ninachotatizwa na kushiriki kutatua baadhi ya kero inayosababisha nichukie kusoma hatimae nikapenda kusoma
 
Darasa LA 4 mwalim sirikwa mwanajeshi,,alinifanya niwe na adabu kwa wakubwa na wadogo,mwalimu mmoja muhaya Mama Lugwereka nimekosa swali LA msamiati nikapigwa fimbo 133 sitasahau
Walimu wote hao walikuwa shule gani?
 
sir peter a.k.a sir assume hongera kwake stik nying mpaka tukajua math much respect to him mana dah bila zile fimbo cjui ingekuaje mana co kwa hesabu hz za chuo bila kuwa na msing mzur ingenicost sana
 
Mwalimu Njiku (a.k.a pangea. kutokana na meno yake kuachana) alinifundisha history advanced daaah amekuwa msaada sana kwangu ilikuwa SINGE HIGH SCHOOL -BABATI-MANYARA huyu jamaa akichafukwa ni shida ila ni best teacher sanaaa ntamkumbuka daima.japo nilimla shemeji yake nikiwa form six[emoji39] [emoji12]
 
nkianza na chekechea ni Mwalimu BARONGO pale CHAKULA BORA (sasa ni shule ya sekondari Manzese)
 
Nilipokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
Njoo pm wewe, dah!!
 
Back
Top Bottom