Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mwalim Paulina KIPOBOTA alinifunfisha darasa la kwanza shule YA msingi ISMANI iliyopo Iringa Jimbo la Ismani
 
Mwlimu Hidden -maths
Moddy physics & Mgote -physics
Omar hakim & Mbuga - Biology
Unga & Mbuga - Chemistry

Walikuwa ni msaada mkubwa kwa wanafunzi na Bado wanaendelea kuwa msaada.
Wamenisaidia kwenda shule ya vipaji japo Sina kipaji maalumu,Ningetamani waendelee kutufundisha mpaka chuo sababu ya mazoea
NOTE:
bila kuongeza juhudi binafsi huwezi kufanikiwa.
we jamaa Umenikumbusha mbali enzi za mchikichini daaah ila walinisaidia sana.
 
Sarah sanga msimbazi mseto alikuwa zaidi ya mwalim R.I.P mama yetu kipenzi wana mseto
 
Mwalimu Manasse alifundsha kusoma na kuandika na ndio amenisaidia mpaka hapa nlipo MAYUTA
 
Ni mwalimu wangu kipenzi Mwl. TARIMO aliniokoa kutoka katika kuponea chupuchupu ya kufeli darasa la nne mpaka kuwa mwanafunzi bora darasa la saba.namshukuru sana kwa mentorship aliyokuwa akinipa
Shule ipi hiyo mkuu?
 
Mwalimu Kaka yangu Fredy,alikuwa kanitangulia vidato 2 ,mi nipo day yeye boarding school kila akija likizo alinipiga msasa wa Mathematics mwisho niliondoka na banda O-level bila tuition yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom