Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mwalimu John wa chemistry mkwawa sec
9a419584ac1cdc1906fb54953cb334f6.jpg
kaka Mkwawa hiyo.Nilikipiga advance 2003-2003 Chuo kikuu 2011-2015.Namkumbuka Mwl Makwaya Geography,Simeon wa History One.Mwl Fanta Magoli.Mwl Mayo wa History pale Mkwawa University. Mwl Titus Ombori wa Archeology.Na Madam Anna wa Geography Dp
 
Namkumbuka sana

Mwl Betsheba Malima Gondera (Rubana S/M).

Mwl Jerald Nyaonge (Kunzugu sec)

Mwalimu Ntanturo Ntokezi aka Profesa (Malagarasi high school)

Mwl, Sr Angelina, Prof Ahmad, Prof Chiteji, Dr Saanane, Mwl mzee wangu Sijjo Bila kumsahau, Mwl Papa Kambale Katungo (SAUT-Mwanza)

Ni wengi sana ila hao wanatosha katika kumbukumbu zangu, zitawasahau.
 
Mwalimu Samweli pale Nyarigamba Primary schoo,

Mwalimu Joseph Nyamuhanga pale Makoko seminary, Mwalimu Mwita(Preamble) pale Musoma Technical High school,....
 
Mwalimu Kavishe(Alishastaafu) alikuwa akitufunza kuandika chini kuhesabu visoda, kuimba nyimbo na kusoma enzi hizo kila mtu nje ana eneo lake unalisafisha vizuri kwa kuondoa vimawe mawe na kusogezea udongo laini ili utakapoandika mwalimu kavishe aone vizuri unavyoandika
Nikikumbuka nampa salute zake alikuwa Intristic motivated aisee sio waalimu wa sasa hivi unakita mwanafunzi yupo darasa la 7 hajui hili wala lile
 
Nilipokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
Hakuonja na papuchi kidogoo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom