Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,525
Reaction score
48,839
Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms.

ATM za CRDB zimejaa wezi

Msizitumie.

Ukiweka ATM card ile ya kuscan.

Ukitoa tu,

Wanadetails zako zote.

Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu.

Wanaiba na hawana aibu.
 
Kuna jamaa yangu tangu kile kipindi walijifanya sijui mfumo umechanganyikiwa hela zikawa zinakatwa ovyo, mpaka Leo kakatwa zaidi ya 2M kaenda Kila tawi wanamzumgusha tu. Akiacha tu hela wanapita na kiasi kadhaa.
 
Hakuna benki ya hovyo na mbovu duniani kama CRDB.
Nilipigwa matukio 3 ya usumbufu na wiz kwenye akaunti yangu ikabidi ni itupe.
Ile benki imeajiri wachaga mtupu wenye tamaa ya pesa.
Bora vita vya Marekani na Irani kuliko vita vya Wateja na CRDB.
 
Back
Top Bottom