Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

Wabongo bado washamba, mmefikiw sasa

1773864154548.png

1773864357591.png

1773864330927.png
 
Nakumbuka kuna mdada mmoja nafahamiana nae yupo mkoani, alipata changamoto moja hivi ,ambayo ilihitaji msaada wa fedha wa haraka na ilikuwa 30k.Nilimtumia saa tatu usiku anakuja kuipata sita usiku na si mara moja hii kutuma na hela na kuchelewa kufika, halafu ukiwapigia watu wa huduma kwa wateja wanakusubirisha kwa dk 15-20.
 
Back
Top Bottom