GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,426
- 10,670
Pesa inaingia bila kupewa notifications juzi nimetumiwa tsh 2750000 nimepata notifications,jana imetumwa pesa kama ya juzi 2750000 haijaja notification jamaa ananipigia simu anauliza umeona pesa,kuchek sim banking imeingia 2712000 na hapo nilijua kwa sababu nilikuwa nakumbuka salio lililobaki...namuliza mbona 2712000 jamaa na yeye anashangaa basi tukajua tayri Mangi wa CRDB kashafanya yakeSema wanaibaje ibaje sasa.
Je hela inatoka pungufu ama unapata pesa sawa huku wanapunguza ya kwenye Account?
Nambie huo muda wa kufatilia 38k utaupata wapi?kwa kifupi wanaiba vizuri tu wao wanajua mifumo wanavyoichezesha.
NMB sikumbuki kama nilishawah kuingizwa pesa halafu nisipewe notification.