Msiri wako ni nani JF?

Siri ni nini? Siri maana yake nini?
Sina msiri, ila nina siri za watu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani my wii siku siri zako zikivuja sijui itakuwaje una maadui wengi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Manguchiro ni mengi afu ukiyauliza wana chuki gani haswa kwangu hayana majibu ya kueleweka..!!

Na mi nafanya makusudi yanacheza beat langu vile ninavyotaka. Kama huyo mweusi bonge na top yake ya afu tatu anayarudi kweli na mwenye kibwaya pembeni yake..!!๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Buanaa adui zangu wa kuchovya mnanipa rahaaaaaa..!!!
 

Attachments

  • export_1777157062815.mov
    5.2 MB
Mpenzi wangu ndio msiri wangu, huwa ananiambia kabisa huendani na personality yako ya JF. Hasa siku umbea ukikolea humu jinsi ninavyofukua makaburi wakati mpole mwenyewe ananifichia mengi babe wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukija dar najitolea kukupikia dear karibu
Siji mji umejaa laana huo! Malaya na mashoga kila kona๐Ÿซข๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
Acha nibaki zangu tandahimba niuze chupi
Cc, ipm ๐Ÿ˜
 
Maxence Melo huyu ndugu yetu alilala lupango baada ya kukataa kutoa taarifa zetu kwa pilato yaan sijui tungejificha wapi mbele za watu wabaya.
Mwenyezi Mungu akubariki sana
Anastahili heshima kubwa sana ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ‘‘
 
Nipo kipenzi nashangaa nipo nareply coment yako mara ghafla wewe na cocastic mna ban. Labda mlikula ban kwa kushadadia ugomvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatariii sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
JF mambo hiya hiyaa.
 
Uduguu, mbona uzi umejaa sumu sana, kwani kimeguswa kitufe gani?
Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitufe cha donati kimeguswa wamepoteana nguchiro ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

JF haipoi wala haiboi ๐Ÿคฃ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
Njoo tubadilishane uduguu [emoji81][emoji81]
Uduguu em tutulizane, [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana watu wako hae hae, hawataki kukubalii.

Imekuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitufe cha donati kimeguswa wamepoteana nguchiro [emoji81][emoji81][emoji81]

JF haipoi wala haiboi [emoji1787][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu tutasekwa lupango, wee hayaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ