Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani.
Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao.
Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye furaha na afya tele ukaona wajukuu zako na vitukuu .
Huwezi kuishi maisha marefu kama kila kitu wewe unakichukulia serious,maisha sio magumu hivyo,huwezi kumaliza matatizo ya watanzania kwa miaka kumi
Fanya kazi yako utakapoishia waachie wengine watamalizia
Moyo wa subira,
Kumbuka alihitinu shahada ya uchumi miaka ya 70 katika chuo bora kabisa udsm lakini alikubali kufanya kazi ya katibu wa wilaya wa CCM,miaka ile wasomi ni wachache sana angeweza kupata kazi nzuri kuliko hiyo.
Miaka arobaini baadae kazi hiyo kwa wasomi wengi wanaona ni ya chini kabisa.
Mzee Ruksa akiwa Rais alifanya ziara mikoa ya kusini akamkuta JK amerelax anaendesha baiskeli,wiki iliyofuata akamteua mbunge na naibu waziri.
Tusiwe serious sana na maisha,ukiwa serious sana vidonda vya tumbo,presha,kisukari vitakuua,
Sisi watu wa pwani hatuna hayo magonjwa maana tunajua maisha ni zawadi tu toka kwa Mungu na huwezi kubadili dunia kwa miaka kumi.
Humpendi JK basi fuata life style yake ufurahie maisha
Fanya ibada
Fanya mazoezi
Kuwa karibu na familia yako
Furaha ñi......