Utafiti: Wazee wa kiislamu wanaishi maisha marefu zaidi

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
5,950
23,263
Wiki hii Nilikuwa kwenye kozi fupi ya afya, Jana ijumaa daktari aliyekuwa zamu 'akitupigisha pindi' aliongea kitu si tu kilinishangaza,bali pia kilinivutia na kutaka kujifunza zaidi,maana zamani sikuwa na mtazamo huu wa daktari

Namnukuu Doctor;
"utafiti unaonyesha watu wa mijini wanakufa mapema zaidi kulinganisha na watu wa vijijini, na hii inatokana na life style( mtindo wa maisha) .Mtu wa mjini unakuta anaamka asubuhi kisha anawasha gari anafunguliwa geti na mlinzi kisha anaenda kazini. Akifika kazini anawasha AC kisha anawasha kompyuta yake anafanya kazi,saa nne asubuhi analetewa chai na chapati na supu ya ng'ombe pembeni na mdada wa kazi wa ofisi.akimaliza anaendelea na kazi huku anakula upepo wa AC huku ubaridi wa AC ukiendelea kugandisha cholesterol mwilini mwake.

Mchana anaenda kupata wali au chipsi kisha anarudi ofisini kukalia kiti kuendelea na kazi.

Jioni anamaliza kazi kisha anawasha gari kabla hajaelekea nyumbani anaenda viwanja kupata paja la mbuzi na bia kisha anarudi nyumbani na gari.

Akifika home saa mbili anawekewa chakula kisha anapiga msosi,anaoga anaingia kitandani..Kwa ratiba hii na chakula hakitumiki mwilini basi mwili unaendelea kuhufadhi mafuta.(Tufupishe mada sitaki kuingia deep maswala ya afya na madhara ya hii Tabia maana huu siyo Uzi wa afya)

Akaendelea; Usiku baada ya Kula mama watoto anataka haki yake, Mzee Baba inabidi umuhudumie mkeo unakukuruka tako zako 5 ukijitahdi 15 kisha unarudisha Mpira Kati, refa walete mechi imeisha na huna uwezo tena wa kurudia" Tukacheka kisha akaendelea "Huyu mtu anairudia rudia hii ratiba maisha yake yote km itabadilika basi ni Kwa kiasi kidogo sn..Sasa Kwa life style hii usitegemee km utaishi miaka mingi kulinganisha na mtu wa kijijini ambae tangu asubuhi anafanya kazi za mikono na kuu keep mwili wake busy plus vyakula anavyokula"

Hii ilikuwa kuweka Sawa mantiki ya huu Uzi nataka kuongelea nini...

Point ya daktari ktk kichwa cha habari ilikuwa ni hii..

Anaendelea "Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya ni kwamba wazee wa kiislamu au niseme waislamu Kwa ujumla wake wanaishi maisha marefu kulinganisha na wazer we kikirsto..Kwa nini?

Asubuhi alfajiri Mzee wa kiislamu ataamshwa na Azana kisha anaelekea msikitini kuswali, wangapi wasislamu humu??" Walio waislamu wakanyoosha mikono yao.. "Mnaposwali kuna matendo ya mwili huwa mnayafanya, Mimi daktari ni mkristo siwezi kujua Ila naona mnainama mnasujudu mnasimama kisha mnarudia hivyo mara kadhaa.ukiachana na kitendo hiko kuwa ni ibada mnajua kwamba ni mazoezi tosha Kwa mwili wa binadamu ? Mtu ambae anapractize hiki kitendo maisha yake lazima yawe marefu kuliko wale wasiofanya hivi hasa linapokuja swala la uzee"

Ghafla kichwa kikagonga nikamkumbuka Mzee mwinyi (Ruksa) alivyo na afya

Doctor akamalizia "Sisi wakristo mtu akizeeka kidogo alafu akiwa mstaafu ana vuhela hela anapewa cheo cha mzee wa kanisa kisha anakaa kule mbele na hajishughulishi na Jambo lolote, hata akinyanyuliwa anainyka na kupunga mikono kisha anaweka Biblia yake kwaoani anarudi kukaa"

Akamaliza daktari Kwa Kusema tufanye mazoezi maana siku hizi magonjwa yasiyoambukiza ndy yanaua zaidi

Huu siyo Uzi wa dini na Mimi siyo muislamu, Kwa wanaonijua wanajua Mimi ni mkristo Ila nimeupenda utafiti wa daktari nikaona nishee Tu hapa Jf..Ktk hili la ibada basi mtazamo wangu waislamu wanapaswa kupongezwa

Credit: Doctor Hans

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wiki hii Nilikuwa kwenye kozi fupi ya afya,Jana ijumaa daktari aliyekuwa zamu 'akitupigisha pindi' aliongea kitu si tu kilinishangaza,bali pia kilinivutia na kutaka kujifunza zaidi,maana zamani sikuwa na mtazamo huu wa daktari

Namnukuu Doctor;
"utafiti unaonyesha watu wa mijini wanakufa mapema zaidi kulinganisha na watu wa vijijini,na hii inatokana na life style( mtindo wa maisha) .Mtu wa mjini unakuta anaamka asubuhi kisha anawasha gari anafunguliwa geti na mlinzi kisha anaenda kazini.Akifika kazini anawasha AC kisha anawasha kompyuta yake anafanya kazi,saa nne asubuhi analetewa chai na chapati na supu ya ng'ombe pembeni na mdada wa kazi wa ofisi.akimaliza anaendelea na kazi huku anakula upepo wa AC huku ubaridi wa AC ukiendelea kugandisha cholesterol mwilini mwake.Mchana anaenda kupata wali au chipsi kisha anarudi ofisini kukalia kiti kuendelea na kazi
Jioni anamaliza kazi kisha anawasha gari kabla hajaelekea nyumbani anaenda viwanja kupata paja la mbuzi na bia kisha anarudi nyumbani na gari. Akifika home saa mbili anawekewa chakula kisha anapiga msosi,anaoga anaingia kitandani..Kwa ratiba hii na chakula hakitumiki mwilini basi mwili unaendelea kuhufadhi mafuta.(Tufupishe mada sitaki kuingia deep maswala ya afya na madhara ya hii Tabia maana huu siyo Uzi wa afya)

Akaendelea; Usiku baada ya Kula mama watoto anataka haki yake,Mzee Baba inabidi umuhudumie mkeo unakukuruka tako zako 5 ukijitahdi 15 kisha unarudisha Mpira Kati,refa walete mechi imeisha na huna uwezo tena wa kurudia" Tukacheka kisha akaendelea "Huyu mtu anairudia rudia hii ratiba maisha yake yote km itabadilika basi ni Kwa kiasi kidogo sn..Sasa Kwa life style hii usitegemee km utaishi miaka mingi kulinganisha na mtu wa kijijini ambae tangu asubuhi anafanya kazi za mikono na kuu keep mwili wake busy plus vyakula anavyokula"

Hii ilikuwa kuweka Sawa mantiki ya huu Uzi nataka kuongelea nini...

Point ya daktari ktk kichwa cha habari ilikuwa ni hii..

Anaendelea "Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya ni kwamba wazee wa kiislamu au niseme waislamu Kwa ujumla wske wanaishi maisha marefu kulinganisha na wazer we kikirsto..Kwa nini?
Asubuhi alfajiri Mzee wa kiislamu ataamshwa na Azana kisha anaelekea msikitini kuswali,wangapi wasislamu humu??" Walio waislamu wakanyoosha mikono yao.. "Mnaposwali kuna matendo ya mwili huwa mnayafanya,Mimi daktari ni mkristo siwezi kujua Ila naona mnainama mnasujudu mnasimama kisha mnarudia hivyo mara kadhaa.ukiachana na kitendo hiko kuwa ni ibada mnajua kwamba ni mazoezi tosha Kwa mwili wa binadamu ? Mtu ambae anapractize hiki kitendo maisha yake lazima yawe marefu kuliko wale wasiofanya hivi hasa linapokuja swala la uzee"

Ghafla kichwa kikagonga nikamkumbuka Mzee mwinyi (Ruksa) alivyo na afya

Doctor akamalizia "Sisi wakristo mtu akizeeka kidogo alafu akiwa mstaafu ana vuhela hela anapewa cheo cha mzee wa kanisa kisha anakaa kule mbele na hajishughulishi na Jambo lolote,hata akinyanyuliwa anainyka na kupunga mikono kisha anaweka Biblia yake kwaoani anarudi kukaa"

.Akamaliza daktari Kwa Kusema tufanye mazoezi maana siku hizi magonjwa yasiyoambukiza ndy yanaua zaidi

Huu siyo Uzi wa dini na Mimi siyo muislamu,Kwa wanaonijua wanajua Mimi ni mkristo Ila nimeupenda utafiti wa daktari nikaona nishee Tu hapa Jf..Ktk hili la ibada basi mtazamo wangu waislamu wanapaswa kupongezwa

Credit: Doctor Hans

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sio swala la wazee wa kiislamu tuu bali hata ndoa za kiislamu za mitala hazina migogoro kama ilivyo kwa Wakristo..

Waislamu wanajitahidi kuishi kwa maadili.
 
Pia hawasumbuliwi na wanawake..

Kuna wazee kibao wa kikristo wanaishi kipweke sababu mke kamkimbia kahamia kwa watoto wake.

Mke wa kiislam hawez ishi mbali na mumewe maana anajua ataletewa mke wa pili
 
Mada nzuri , Ila umekosea sana kuleta post iliyojaa imoji, binafsi nakeleka na uandishi wa mwanamme kutumia imoji, namuona Kama hayuko makini, yaani nimeshindwa hata kutoa mchango wangu kwa sababu ya kuona imoji kwenye post, badirika Mkuu, jua namna ya kuwasilisha hoja.

Hoja yako ilikuwa too sensitive Ila uwasililishwaji wake umeonesha hako serious!!!
 
Mada nzuri , Ila umekosea sana kuleta post iliyojaa imoji, binafsi nakeleka na uandishi wa mwanamme kutumia imoji, namuona Kama hayuko makini, yaani nimeshindwa hata kutoa mchango wangu kwa sababu ya kuona imoji kwenye post, badirika Mkuu, jua namna ya kuwasilisha hoja. Hoja yako ilikuwa too sensitive Ila uwasililishwaji wake umeonesha hako serious!!!
Muhimu beba ujumbe uliowekwa, namna ya uwasilishwaji sio kitu cha kuzingatia, hatugawiani marks hapa.
 
Uislam ni mfumo wa maisha kwa binadamu..

Nakumbuka nilikuwa katika kiji course fulani,mwalimu akasema kuwa mwili wa binaadamu hautakiwi ukae sehemu moja bila ya ku move..

Hapo nilikumbuka sala tano za kiislamu,hizi sala ziko designed kuufanya mwili wa binaadamu usikaae sehemu moja bila ya kufanya kitu..

Sala tano za kiislamu ni zoezi tosha,kama mtu atasali sala zote bila kukwepa hata moja basi ni dawa tosha,mwili lazima uwe fiti
 
Wiki hii Nilikuwa kwenye kozi fupi ya afya, Jana ijumaa daktari aliyekuwa zamu 'akitupigisha pindi' aliongea kitu si tu kilinishangaza,bali pia kilinivutia na kutaka kujifunza zaidi,maana zamani sikuwa na mtazamo huu wa daktari

Namnukuu Doctor;
"utafiti unaonyesha watu wa mijini wanakufa mapema zaidi kulinganisha na watu wa vijijini, na hii inatokana na life style( mtindo wa maisha) .Mtu wa mjini unakuta anaamka asubuhi kisha anawasha gari anafunguliwa geti na mlinzi kisha anaenda kazini. Akifika kazini anawasha AC kisha anawasha kompyuta yake anafanya kazi,saa nne asubuhi analetewa chai na chapati na supu ya ng'ombe pembeni na mdada wa kazi wa ofisi.akimaliza anaendelea na kazi huku anakula upepo wa AC huku ubaridi wa AC ukiendelea kugandisha cholesterol mwilini mwake.

Mchana anaenda kupata wali au chipsi kisha anarudi ofisini kukalia kiti kuendelea na kazi.

Jioni anamaliza kazi kisha anawasha gari kabla hajaelekea nyumbani anaenda viwanja kupata paja la mbuzi na bia kisha anarudi nyumbani na gari.

Akifika home saa mbili anawekewa chakula kisha anapiga msosi,anaoga anaingia kitandani..Kwa ratiba hii na chakula hakitumiki mwilini basi mwili unaendelea kuhufadhi mafuta.(Tufupishe mada sitaki kuingia deep maswala ya afya na madhara ya hii Tabia maana huu siyo Uzi wa afya)

Akaendelea; Usiku baada ya Kula mama watoto anataka haki yake, Mzee Baba inabidi umuhudumie mkeo unakukuruka tako zako 5 ukijitahdi 15 kisha unarudisha Mpira Kati, refa walete mechi imeisha na huna uwezo tena wa kurudia" Tukacheka kisha akaendelea "Huyu mtu anairudia rudia hii ratiba maisha yake yote km itabadilika basi ni Kwa kiasi kidogo sn..Sasa Kwa life style hii usitegemee km utaishi miaka mingi kulinganisha na mtu wa kijijini ambae tangu asubuhi anafanya kazi za mikono na kuu keep mwili wake busy plus vyakula anavyokula"

Hii ilikuwa kuweka Sawa mantiki ya huu Uzi nataka kuongelea nini...

Point ya daktari ktk kichwa cha habari ilikuwa ni hii..

Anaendelea "Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya ni kwamba wazee wa kiislamu au niseme waislamu Kwa ujumla wake wanaishi maisha marefu kulinganisha na wazer we kikirsto..Kwa nini?

Asubuhi alfajiri Mzee wa kiislamu ataamshwa na Azana kisha anaelekea msikitini kuswali, wangapi wasislamu humu??" Walio waislamu wakanyoosha mikono yao.. "Mnaposwali kuna matendo ya mwili huwa mnayafanya, Mimi daktari ni mkristo siwezi kujua Ila naona mnainama mnasujudu mnasimama kisha mnarudia hivyo mara kadhaa.ukiachana na kitendo hiko kuwa ni ibada mnajua kwamba ni mazoezi tosha Kwa mwili wa binadamu ? Mtu ambae anapractize hiki kitendo maisha yake lazima yawe marefu kuliko wale wasiofanya hivi hasa linapokuja swala la uzee"

Ghafla kichwa kikagonga nikamkumbuka Mzee mwinyi (Ruksa) alivyo na afya

Doctor akamalizia "Sisi wakristo mtu akizeeka kidogo alafu akiwa mstaafu ana vuhela hela anapewa cheo cha mzee wa kanisa kisha anakaa kule mbele na hajishughulishi na Jambo lolote, hata akinyanyuliwa anainyka na kupunga mikono kisha anaweka Biblia yake kwaoani anarudi kukaa"

Akamaliza daktari Kwa Kusema tufanye mazoezi maana siku hizi magonjwa yasiyoambukiza ndy yanaua zaidi

Huu siyo Uzi wa dini na Mimi siyo muislamu, Kwa wanaonijua wanajua Mimi ni mkristo Ila nimeupenda utafiti wa daktari nikaona nishee Tu hapa Jf..Ktk hili la ibada basi mtazamo wangu waislamu wanapaswa kupongezwa

Credit: Doctor Hans

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ni sawa ila naona utafiti umekaa kinadharia zaidi
 
Back
Top Bottom