Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,755
- 145,528
Sijaongelea kanisani, nimeongelea msikitini.Kwa sababu ulikuwa ukiingia kanisani na viatu basi unataka kila sehemu iwe hivyo hivyo.
Sitaki kusema kwamba upungufu wa elimu kwa kitu unachokijadili ndiyo kilichokufanya uropokwe hivyo.
La kanisani umelitoa wapi?
Huyu analalamika ubaguzi katika nyumba ambayo msingi wake ni ubaguzi.
Hoja haina mantiki.