Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Nina rafiki yangu nae hapendi kuoga, akitoka kazini utamsikia, nimechoka ngoja nijilaze kidogo, akijilaza ndio imetoka hiyo, najiulizaga akiwa na BF wake sijui inakuwaje. sijawahi kumuuliza hivi na mr akiwepo ndio unajilazaga tu hivyo hivyo
 
ila sio siri nyuzi za kuwasema wanawake/wasichana zimekuwa nyingi sana....

ila kuna msemo unasema KULA LAZIMA KUOGA HIARI
 
Binadamu kweli tumetofautiana !yaani kweli kabisa mtu hutamani kuoga!sasa anaishije sijui!Mungu amsamehe dhambi zake.
 
Kamchunguze shemeji kama mbunye ni safi au la...alafu ufanye maamuzi
 
Kamchunguze shemeji kama mbunye ni safi au la...alafu ufanye maamuzi
Ushauri mzuri sana huu
A%20S%20shade.gif
 
Mwambie akienda kuoga akaoge nae mwisho atazoea alafu kila saa kazi yake iwe ndo hiyo ukaoge ukaoge ukaoge mwisho atazoea
 
Back
Top Bottom