Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,072
Reaction score
16,624
Ebana amani ya bwana iwe nanyi wote watanganyika wenzangu!Kuna mshikaji wangu kaniomba ushauri,anasema mpenzi wake hapendi kuoga,yani suala la mpenzi wake kuoga ni mpaka wagombane,jamaa anasema anahisi kumchoka huyu manzi kwa hzo tabia zake.

Sasa kesi imeletwa mezani kwangu nikiwa kama rafiki wa hyo couple ili niweze kumshauri huyu mshkaji wangu,na kwa kweli huyo manzi mwenyewe asieoga ukimuona ni mrembo wa haja kabisa kwa nje ila ndo hivo anaweza akamdanganya mshkaji kuwa anaenda kuoga ila akifka bafuni anapiga pasport size,kwa kweli hii kesi nimeona nisikurupuke kutoa ushauri maana naweza nikawa bias,so nimeona niilete kwenu wakubwa ili tushauriane cha kumwambia mwanaume mwenzetu.

Asanteni sana.
 
tang'ana

NIPE NAMBA Ya HUYO MANZI HAPA FASTA ILI NIMKANYE AACHE HIYO TABIA YA KUTOOGA!

EEEBOH!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh..Demu mchumi huyo..Anapunguza gharama zisizo za lazima..
 
Ebana amani ya bwana iwe nanyi wote watanganyika wenzangu!Kuna mshikaji wangu kaniomba ushauri,anasema mpenzi wake hapendi kuoga,yani suala la mpenzi wake kuoga ni mpaka wagombane,jamaa anasema anahisi kumchoka huyu manzi kwa hzo tabia zake.

Sasa kesi imeletwa mezani kwangu nikiwa kama rafiki wa hyo couple ili niweze kumshauri huyu mshkaji wangu,na kwa kweli huyo manzi mwenyewe asieoga ukimuona ni mrembo wa haja kabisa kwa nje ila ndo hivo anaweza akamdanganya mshkaji kuwa anaenda kuoga ila akifka bafuni anapiga pasport size,kwa kweli hii kesi nimeona nisikurupuke kutoa ushauri maana naweza nikawa bias,so nimeona niilete kwenu wakubwa ili tushauriane cha kumwambia mwanaume mwenzetu.

Asanteni sana.
mkuu vp hajaanza kunuka? mwanamke kutooga ni aibu
 
Back
Top Bottom