Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

tang'ana mambo vp?Me naomba kujua huyu demu kweli wa mshikaji au wako?km n wa mshikaji wako basi hajielewi huyo na km n demu wk so vzr kumuanika hawa unaowaambia kwani watakuja kumuogesha au?Sema na muhusika baba.
 
Last edited by a moderator:
Ebana amani ya bwana iwe nanyi wote watanganyika wenzangu!Kuna mshikaji wangu kaniomba ushauri,anasema mpenzi wake hapendi kuoga,yani suala la mpenzi wake kuoga ni mpaka wagombane,jamaa anasema anahisi kumchoka huyu manzi kwa hzo tabia zake.

Sasa kesi imeletwa mezani kwangu nikiwa kama rafiki wa hyo couple ili niweze kumshauri huyu mshkaji wangu,na kwa kweli huyo manzi mwenyewe asieoga ukimuona ni mrembo wa haja kabisa kwa nje ila ndo hivo anaweza akamdanganya mshkaji kuwa anaenda kuoga ila akifka bafuni anapiga pasport size,kwa kweli hii kesi nimeona nisikurupuke kutoa ushauri maana naweza nikawa bias,so nimeona niilete kwenu wakubwa ili tushauriane cha kumwambia mwanaume mwenzetu.

Asanteni sana.



Ndo mtamu huyo huwa wana harufu flani inayo tia genye sana ila tu asinuke mdomo na kwapa
 
Inategemea na mkoa aliopo tye tye tye tye!!! Mi mwenye kuoga kwa mwezi mara mbili !! Nasubiri mvuaaaa!!
 
anaishi wapi huyo.. maana usema kweli kuna mikoa mingine decision ya kuoga ni ngumu mno kuchukua. mkoa kama arusha au iringa mwanamke kuoga baada ya siku mbili kawaida sana
 
labda WEWE pia huwa ni mvivu wa huogi. So anataka m-match!
 
Kuna nyakat nilikuwa na rafiki yangu akiwa na dem wa namna hiyo...ni sister du hatar kabisa ila swala lakuoga awali hakuwa nalo...ila nlichofanya nilimshaur jamaa awe anaoga na yule dem...yaan hata akisema ametoka kuoga dakika mbili zilizopita yeye akiwa hayupo akatae,basi ikawa hivyo had dem akanyooka...sa hv anaoga fresh kabisa....
 
Wa2 wengine bwana! hv unaogopa kusema ni demu wako mpk upitishie kwa mskj? km ni yeye kweli aombe ushauri ushauri mwenyewe na si wewe tena
 
Back
Top Bottom