Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Mbona mademu wengi siku izi kutooga ndio zao? Na pichu pia wengi wao hawavai.
 
Hii mupya!awe anaoga nae kila siku, akishamzoesha ataweza kuoga mwenyewe! mmmh,labda amekulia sehemu zenye ukame,kuoga Mara Moja kwa wiki!
 
Sasa wewe inakuuma nini.Mwache akamnukie bwanake.Au una....?eeeh?
 
Labda ni muoga wa kuoga maji ya baridi jaribu kuumiliza mshikaji vizuri kama vipi awe anachemsha maji ya kuoga
 
Hehehe mie na wewe miaka mia saba. Si unajua mtalaka hatongozwiii.
:A S-heart-2::A S-heart-2:
Nimekumisijee..japo umenisusa bado nakupenda eksi kidumu wangu. Uoge, usioge mie sawa tuu!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom