Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

Kuoga hiari, kula lazima..!! hivyo watu wasilazimishane kweny vitu vya hiari
 
mmh had kinyaa kwanza anakaa mkoa gan? pia nahis kuchamba kwa maji hafanyi, bila shaka huyo ana ugomvi na maji au kuna visheria flan vya kichawi vinambana. duuu asee manzi isiyooga ciipatii picha vp anafua lakn, hanuki. ni mnene au mwembamba? CJUI HATA kama jamaa ana enjoy hii baraka aliytotupwa mwenyez mungu. maana hata ikulu yake itakua haidekiwi
 
He hee usivunjike buana
Natumia saa nzima asubuhi na masaa 3 jioni. Napenda maji sanaaaa. Nafikiri vizuri na kwa kina nikiwa chini ya shower. I wish wangeruhusu kufanyia mitihani bafuni :glasses-nerdy:
 
Natumia saa nzima asubuhi na masaa 3 jioni. Napenda maji sanaaaa. Nafikiri vizuri na kwa kina nikiwa chini ya shower. I wish wangeruhusu kufanyia mitihani bafuni :glasses-nerdy:

Ha haa hii kali
 
Bwana'ke wa zamani kamwambia harufu ya uvundo inatia nyege zaidi.
 
Back
Top Bottom