Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Ila wakati mwingine utakuta kwenye marafiki yule ambae anaonekana hana mvuto ndio anatongozwa sana , na hii utaiitaje au ndio ule msemo "mwanamke usililie uzuri lilia bahati tu?"

ukiona hivyo labda huyo kaonekana cheap...
 
mh pia kutangaza nia kwhtaj ujuz yani nyie mnakurupuka tu hata ukimkuta yuko na shost watia story. ile ni faragha ndo mana mnabwagwa!
 
ahhaaaa haaa......mimi huwa naanza kumsemesha mbaya kuliko wote......it triggers something powerful to the beautiful one......this we call you create leverage......wanawake wengi wazuri huwa wako insecure....take advantage of that!:A S 39:
 
ha haa haaaaa ume hit home kabisa...
 
Halafu yule mzuri kama ulivyosema anakuwa kama zuzu kweli yaani wale wenzake ndio wanakuwa wana control maamuzi yake
asilimia fulani ya wanawake wazuri huwa wana uzuzu ktk maamuzi yao cjuhi ni kwa nini?
 
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......

siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

Ni kweli kabisa halafu mbaya zaidi kwa uchunguzi wangu mdogo wasichana warembo sana huwa wanaunga urafiki na wasichana wasio wazuri sijui iwe ngao kama ulivyosema hapo juu, au iwe rahisi kwa mwanaume kuuona uzuri wake kwa kum compare faster na yule mbaya?
 
ni kweli kabisa halafu mbaya zaidi kwa uchunguzi wangu mdogo wasichana warembo sana huwa wanaunga urafiki na wasichana wasio wazuri sijui iwe ngao kama ulivyosema hapo juu, au iwe rahisi kwa mwanaume kuuona uzuri wake kwa kum compare faster na yule mbaya?

haaaaa haaaaaaaaaaaa
 
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......

siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

The Boss,hopefully talking from experience my brother.................................good
 
Ni kweli kabisa halafu mbaya zaidi kwa uchunguzi wangu mdogo wasichana warembo sana huwa wanaunga urafiki na wasichana wasio wazuri sijui iwe ngao kama ulivyosema hapo juu, au iwe rahisi kwa mwanaume kuuona uzuri wake kwa kum compare faster na yule mbaya?
Kwani urafiki si huwa unatokea tu, utawezaje jua na kupanga urafiki na mtu? ndo tuseme unakuwa na rafiki mwenye sura mbaya ili upendwe? hii mpya kwangu
 
.................................................
 
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......

siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

hii re search umemefanya wapi? au umeona kwenye filamu,
sasa na wewe scull boy kweli, kwani kumtongoza mpaka wenzake waone? au dizaini za kishuleshule?, no hiding place. next time wape hela uwatume chocolate, wakisepa tu wewe sema na mtoto, wakirudi ushamaliza na wala haupo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom