Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Ni kweli mkuu. Mi imeshanitokea many times. Dawa yao ni kujifanya una interest na yule kichomi kuliko wote ili kupata nafasi kumpata mkali kuliko wote..
 
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......


siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

kaka the boss ....kweli kila mtu mungu kampa fungu/karama zake...mkuu kwenye kuchangia mada upo vizuri sana ..nakupa A+ ila linapokuja suala la kuanzisha uzi/thread..kaka HAPO MUNGU KAKUNYIMA..nakupa F+....

usijali ila ni kuwa mada unazozianzisha zinakuwa na kiji-ukakasi cha kuweza kueleweka kwa urahisi au kuwa "user friendly"..yani mada zako uanzishazo zinakuwa na kigugumizi kueleweka....

sorry kama nitakuwa nimekukwaza just my personal perception of you threads....nothing personal at ol.
 
True ishanitokea kabisa,
yaan nimekumbuka tukio zima lilivyokuwa pale chuon,
yaan wanakuwa na hasira ya wivu,
dah...
 
hapo hapo ukimfuata yule mbaya chobingo akiwa peke ake kwanza atamponda yule mzuri kwa vijembe halafu mwishoni unakula mzigo kama kumsukuma mlevi.......baadaye ukirudi kwa yule mzuri (provided atakuwa amesimuliwa juu ya gwaride ulilompa yule mbaya ,mzuri naye atakubali ) halafu watakuwa wana beef na wewe utakuwa umebaki na yule mzuri na yule mbaya hawezi kuwasumbua tena . Its a cycle sema hujamalizia steps !! works every time !! TRUE STORY !!
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......


siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......
 
kaka the boss ....kweli kila mtu mungu kampa fungu/karama zake...mkuu kwenye kuchangia mada upo vizuri sana ..nakupa A+ ila linapokuja suala la kuanzisha uzi/thread..kaka HAPO MUNGU KAKUNYIMA..nakupa F+....

usijali ila ni kuwa mada unazozianzisha zinakuwa na kiji-ukakasi cha kuweza kueleweka kwa urahisi au kuwa "user friendly"..yani mada zako uanzishazo zinakuwa na kigugumizi kueleweka....

sorry kama nitakuwa nimekukwaza just my personal perception of you threads....nothing personal at ol.


ni kawaida watu kutofautiana
mtazamo na uelewa

so siwezi kukukasirikia kwa kuongea mtazamo wako
inaweza kuwa so true kwa upande wako
 
Ungewauliza labda hizo tabia hawajaacha still

Hapana mie huwa naepuka sana ugomvi, ni mpole na huwa sipendi makuu. Kuwauliza wangeweza nijibu vibaya then wakaniharibia siku bure ilhali mie nataka kufurahi muda wote.
Kama watakuwa hawajaacha hiyo tabia huku wameolewa watakuwa na shida sana kwenye ndoa zao ambazo sitaweza kuzitatua, ila bado ni rafiki zangu.
Au unamaanisha kuwa bado watakuwa wanaendelea kunizibia hata psii psii za barabarani ??? hahahaaa...........!!!
 
Na hukuwahi mzuia kwa ajili ya jealousy?
NIlikua nakutania tu we nawe. I have never been in such a situation but niliona nijaribu kuonesha upande mngine wa shilingi.
Hivi kuna rafiki yangu wowote ananizidi uzuri mie??? ngoja nitoe picha ya mgongo tu, kwa mbele naogopa mtaanza PM kibao

422811_491434267541159_1373843964_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom