Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Apr 22, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

  i mean sura,shepu na kadhalika...

  sasa nije kwenye mada......


  siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
  wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
  ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

  basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
  mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
  cha kuharibu mazungmzo..

  ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
  anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

  huwa inanishangaza sana.....

  yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......
   
 2. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Umeona eeeh. Adui wa mwanamke ni mwanamke
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  The Boss hapo siwezi kubisha sababu visa kama hivyo nimeishakutana navyo na kuviona zaidi ya mara kumi
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yaani ina maana anakuwa hana akili zake mwenyewe? pole rafiki ulipeperushiwa ndege wako au vipi!
   
 5. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Sijawahi sikia hii. Ama kweli elimu bahari.
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Na wewe unapenda wazuri? wabaya tutajibeba mwaka huu
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivyo eeeh......
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaa ahaaaa Gaga sasa wewe si unakumbuka wale rafiki zako walivyokuwa wamekushika masikio wakati nakutokea kwa vile wao walikuwa sio wakali kiasi hicho basi wakaona wanipeperushie ndege wangu na wewe ukawasikiliza
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  mimi nimeona kama mara 20 hivi..
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu yule mzuri kama ulivyosema anakuwa kama zuzu kweli yaani wale wenzake ndio wanakuwa wana control maamuzi yake
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  siku ya kwanza alipeperushwa

  baadae nikakutana nae peke yake...
  mchezo ukaisha....
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  wabaya huwa tunawasaidia sometimes..lol
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaa ahaaaa ahaaaa
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  kaka yaani inashangaza sana...
  halafu baada ya mda msichana anaenda kwa waganga hana bahati
  kumbe anatembea na maadui zake yeye anawaita mashosti....
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mamito vp ulishawai kubaniwa na mashosti wako?:hug:
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Looo nipeperushiwe sababu ya marafiki si unakumbuka nilijifanya nimechoka tukahamia baa ya jirani? akili mu kichwa
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ulikuwa hujui?
  we tafuta shosti mbaya uongozane nae uone...
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  mhhh
  i thought niko peke yangu...
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Huyo atakuwa zuzu, unless hakukupenda kabisa . yaani marafiki wanibanie kisa!!! we ungemwachia business card yako angekutafuta wakati yuko peke yake
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ndio maana huwa nakupenda sababu unajiamini full makonfidensi
   
Loading...