Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Naona hii pia ina ukweli nina rafiki yangu yuko hivyo wakati tukiwa shule, ila aliwapata wengine not me
 
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......

siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

kumbe ndio maana siku ile waliniacha. Lol!
 
Lazima mashosti wangu waendane na mimi mwenyewe, hakuna wa kumcontrol mwenzake kila mtu ana maamuzi yake. hao wengine wanaoshikiwa akili shauri yao
 
The Boss!
Usemayo ni kweli, videm vibaya ndio vinajifanya vina weledi wa kutosha kuwashauri Warembo wazuri, tena hata ukipata bahati ya kuongea na huyo mrembo utagundua hata mapozi hana zaidi atasema asingependa kukosana na rafiki zake na ukimshika VYEDI huwa anaanza kuwakwepa hata wale wenzie.
Yani wadada bwana wanatuchanganya sana.
Kuna msemo umekolea mtaani siku hizi kua Wanawake wote wanafanana kwamba mwalimu wao alikua kipofu lakini wanamuamini kwa picha anazowasimulia alizowahi kuziona. Yani napata hasira tu!

Samahan wadada wa JF kama nimewakosea!
 
Huyo atakuwa zuzu, unless hakukupenda kabisa . yaani marafiki wanibanie kisa!!! we ungemwachia business card yako angekutafuta wakati yuko peke yake

Nilisha wahi kukuta soo, dada wawili wanagombana mmoja anadai mwenzie kwa makusudi ameharibu business card aliyopewa kwa kuimwagia kinywaji, namba zikafutika sasa hana namba ya jamaa, anadai mwenzie ana wivu na si kwamaba ni ajali. Na kweli kati ya hawa mmoja alikuwa mzuri mwingine si sana.
 
umeona sasa?
 
The Boss!
Usemayo ni kweli, videm vibaya ndio vinajifanya vina weledi wa kutosha kuwashauri Warembo wazuri, tena hata ukipata bahati ya kuongea na huyo mrembo utagundua hata mapozi hana zaidi atasema asingependa kukosana na rafiki zake na ukimshika VYEDI huwa anaanza kuwakwepa hata wale wenzie.
Yani wadada bwana wanatuchanganya sana.
Kuna msemo umekolea mtaani siku hizi kua Wanawake wote wanafanana kwamba mwalimu wao alikua kipofu lakini wanamuamini kwa picha anazowasimulia alizowahi kuziona. Yani napata hasira tu!

Samahan wadada wa JF kama nimewakosea!
Ila wakati mwingine utakuta kwenye marafiki yule ambae anaonekana hana mvuto ndio anatongozwa sana , na hii utaiitaje au ndio ule msemo "mwanamke usililie uzuri lilia bahati tu?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom