Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

nakumbuka wakati niko A'level nilikuwa na rafiki yangu mmoja, yeye akisoma HGL mimi CBG, we were real best friends na tulikuwa na mipango mingi ya pamoja. So tulivyokuwa form six, akachumbiwa; nilijaribu sana kumshawishi against lakini nilishindwa. Kwa kiwango kidogo sana (labda cha kutosha) ilikuwa wivu; why not (tulipanga tutafute tempo pamoja tupange chumba kimoja tuchil out and all girls' stuff; ghafla mwenzangu anakuwa MRS), lakini kwa kiwango kikubwa ilikuwa mazingira ya uchumba. WHY?
The guy, alimpenda dada yake na ndiye aliyemchumbia mwanzoni. Dada mtu akatolea nje (sababu hazikujulikana vizuri), so mbaba (he was in his late 30 maybe mid while we were still teens 19) akasema basi naomba nioe mdogo wake. Can you imagine. So mwisho wa siku wazazi wakashinda na bidada just after shule akaolewa, Kaungwa nikaachwa bila rafiki. Anyway the first years of their marriage after the honeymoon phase was hell nafikiri ilichangiwa na utoto wa binti na kutojuana vizuri, lakini baada ya storm huwa bahari ina calm; so bidada alifanya course baadaye and l think they are fairly well.

Apart from hiyo incident nafikiri au sijawa na rafiki kipenziii wa hivyo kiasi kwamba nikamuingilia mahusiano yake au sijamfuatilia mahusiano mdada mwingine. And as for me, l usually make and clean my own mess, simshirikishi mtu kitu ambacho sina maamuzi nacho, nikiomba ushauri mara nyingi nataka kusikia upande wa pili tu mara karibu na zote ninakuwa na maamuzi yangu tayari.

ulikua unasoma CBG na ulitaka kumzuia rafiki yako asiolewe..hapa Kaunga umeigiza kama mwanamke mwenye muonekano mbaya ilhali wewe ni kisu thi ndio eh? lol
 
Last edited by a moderator:
ulikua unasoma CBG na ulitaka kumzuia rafiki yako asiolewe..hapa Kaunga umeigiza kama mwanamke mwenye muonekano mbaya ilhali wewe ni kisu thi ndio eh? lol

kithu waaaapi bana!
kithu awe Kaunga ????
 
Last edited by a moderator:
ulikua unasoma CBG na ulitaka kumzuia rafiki yako asiolewe..hapa Kaunga umeigiza kama mwanamke mwenye muonekano mbaya ilhali wewe ni kisu thi ndio eh? lol
Kwanini unafikiri nimeigiza, pole mahaba yako kwa posts zangu yanakufanya upate picha tofauti na uhalisia. I am real hardlooking.
 
Last edited by a moderator:
kithu waaaapi bana!
kithu awe Kaunga ????

Wivu mwaka huu utakumaliza. Lol
Huo mwanya wako soko ushapoteza siku hizi, kwanza nami nina mpango wa kuyachonga memo ya sebuleni hadi utokee.
 
Last edited by a moderator:
Wivu mwaka huu utakumaliza. Lol
Huo mwanya wako soko ushapoteza siku hizi, kwanza nami nina mpango wa kuyachonga memo ya sebuleni hadi utokee.

ahaahhahahahhahahhahah utakomaje sasa!
uliza kaka zako wanavodata nao!
unajua wanataka kunyamwezisha???
ehehehhehheh utajibebaje sasa!
 
ahaahhahahahhahahhahah utakomaje sasa!
uliza kaka zako wanavodata nao!
unajua wanataka kunyamwezisha???
ehehehhehheh utajibebaje sasa!

Yaani kwetu mwanya ni big plus kwakweli, lzm kaka zangu wachanganyikiwe. Come to think if it, mama yangu akichonga meno kama Nyerere, so l think angeweza angeenda all the way.
 
Yaani kwetu mwanya ni big plus kwakweli, lzm kaka zangu wachanganyikiwe. Come to think if it, mama yangu akichonga meno kama Nyerere, so l think angeweza angeenda all the way.

ahahahhahahah kopi kwa KIKUNGU Sikonge na The Boss.
hivi Eiyer baada ya kupewa talaka na huyu bibie ndo umeamua kusepa mazima!
kuja bana!
by the way ashapata mume mwingine unafikir atakuwa anakuonea wivu tena!kwih!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unafikiri nimeigiza, pole mahaba yako kwa posts zangu yanakufanya upate picha tofauti na uhalisia. I am real hardlooking.

Ntakua wa mwisho kuamini, angesema Kongosho labda..
 
Last edited by a moderator:
sakapal umenikumbusha story moja ambayo niliiba prospective jamaa wa bidada mmoja hivi Moshi.
The girl alikuwa anajigonga sana for the guy aliyekuwa anakaa floor ya juu yetu. And she told me so, nikampa shavu, so siku moja akaniomba nimsindikize (that was her mistake); so nikamsindikiza tukapiga story mbili tatu, n then the guy akamuita dada room halafu within a minute or two; mkaka akaja living room na kuniambia he doesn't like my friend and he wants me.

Anyway, sikumpenda so SIKUMUIBIA na bidada hakufanikiwa. So huenda asingeenda na mimi wangefika somewhere, as people learn to love othersw when they get to know them better.

@

Uje na shosti wako mkali kuliko wewe nione kama ntabadili mawazo lol
 
Asante, Hata sikuwauliza maana nao walitangatanga baada ya kuona hawatongozwi ila kila mmoja now anandoa yake, mmoja wa hao room mate zangu ndo alikuwa matron wa kuanzia kuchen party yangu, send off hadi harusi, mwingine alikuja kushuhudia tuu. Ila mie wala sikwenda kwenye harusi zao wala kuchangia. Na bado tunawasiliana kila mtu yuko na kazi yake ila sitakaa nije kuwaambia walichonifanyia maana hainisaidii tena.


Ungewauliza labda hizo tabia hawajaacha still
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom