Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Akina muangalie mashosti zenu,hiyo ni kweliiiiii kabisaaaaaaaaaaaa yamenitokea hayo,lakini kuna kesi moja ya mwisho hivi majuzi rafikiye demu wangu alini support mambo yakawa lainiiiiiiii,
 
Akina muangalie mashosti zenu,hiyo ni kweliiiiii kabisaaaaaaaaaaaa yamenitokea hayo,lakini kuna kesi moja ya mwisho hivi majuzi rafikiye demu wangu alini support mambo yakawa lainiiiiiiii,

Umeonaa?
 
Kwani urafiki si huwa unatokea tu, utawezaje jua na kupanga urafiki na mtu? ndo tuseme unakuwa na rafiki mwenye sura mbaya ili upendwe? hii mpya kwangu

where r u?
 
Aisee, rafiki wa ukweli ni yule anayekuongoza kwenye njia nzuri.
Kwa mtindo huo, nitaanza kumfanya shoga yangu Kongosho mtaji, yaani badala ya kumshauri against wagegedaji nitakuwa nakula nao deal ili wawe wananipa changu ili niwaunganishie wagegedaji.

Ever heard of the term beautiful and brainless? Sifa huwa zinawapumbaza wengi kiasi kwamba wanafeel obliged to return a favor (compliment) kwa kutanua mapaja; so sisi wabaya we are trying to protect the stupid beautfuls from themselves. LOL
 
Last edited by a moderator:

and who is protecting you?
 
nakumbuka wakati niko A'level nilikuwa na rafiki yangu mmoja, yeye akisoma HGL mimi CBG, we were real best friends na tulikuwa na mipango mingi ya pamoja. So tulivyokuwa form six, akachumbiwa; nilijaribu sana kumshawishi against lakini nilishindwa. Kwa kiwango kidogo sana (labda cha kutosha) ilikuwa wivu; why not (tulipanga tutafute tempo pamoja tupange chumba kimoja tuchil out and all girls' stuff; ghafla mwenzangu anakuwa MRS), lakini kwa kiwango kikubwa ilikuwa mazingira ya uchumba. WHY?
The guy, alimpenda dada yake na ndiye aliyemchumbia mwanzoni. Dada mtu akatolea nje (sababu hazikujulikana vizuri), so mbaba (he was in his late 30 maybe mid while we were still teens 19) akasema basi naomba nioe mdogo wake. Can you imagine. So mwisho wa siku wazazi wakashinda na bidada just after shule akaolewa, Kaungwa nikaachwa bila rafiki. Anyway the first years of their marriage after the honeymoon phase was hell nafikiri ilichangiwa na utoto wa binti na kutojuana vizuri, lakini baada ya storm huwa bahari ina calm; so bidada alifanya course baadaye and l think they are fairly well.

Apart from hiyo incident nafikiri au sijawa na rafiki kipenziii wa hivyo kiasi kwamba nikamuingilia mahusiano yake au sijamfuatilia mahusiano mdada mwingine. And as for me, l usually make and clean my own mess, simshirikishi mtu kitu ambacho sina maamuzi nacho, nikiomba ushauri mara nyingi nataka kusikia upande wa pili tu mara karibu na zote ninakuwa na maamuzi yangu tayari.
 
mnhhh kumbe na wewe una ka historia ka kusimulia lol

ungeposwa wewe then?
 
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......

siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia
 
Japo ni ya tangu mwaka 2011, ila nimeikuita kwenye recent threads na leo ndo naiona kwa mara ya kwanza, imenigusa maisha yangu as in real ilishanikuta hii nikiwa chuo, kuna kijana alikuwa ananifuatilia mie hadi room na kunitongoza na kunitamkia kuwa niwe mkewe mtarajiwa, shida ikawa room mate wangu wote nao walikuwa wanamtaka hivyo akiondoka tuu wanamponda kila mtu kwa namna yake ili nisimkubalie maombi yake. Na mie sjui nlikuwa nimelogwa nikawa nawasikiliza na kuwaamini room mate zangu. yule jamaa alivomaliza mwaka wa 3, alikuwa mbele yangu miaka 2 wakati huo mie nilikuwa mwaka wa 1 alikuja nieleza kuwa room mate zako walikuwa wanakuonea wivu na sikukwambia kipindi kile maana usingeniamini na ningetengeneza ugomvi mkubwa kati yako na room mate zako ilhali wewe ndo kwanza uko mwaka wa kwanza, sikutaka usome kwa shida. Ila wakati huo moyoni mwangu nilikuwa nampenda sana jamaa ila jinsi room mate walivokuwa wanamponda nikampotezea huku moyoni naumia. Nikakosa mume hvhv hadi leo huyo kijana hajaoa kila akiniona ananiambia nimtafutie mke......... Unachosema ni kweli kabisa The Boss, hasa wale waschana wanaokuwa na aibu inawakost sana kama mie ilivonikost.
 
Last edited by a moderator:
Japo ni ya tangu mwaka 2011, ila nimeikuita kwenye recent threads na imanigusa maisha yangu as in real ilishanikuta hii nikiwa chuo live, kumbe kijana aliyekuwa ananifuatilia mie hadi room, room mate wangu wote walikuwa wanamtaka wao hivyo akiondoka tuu wanamponda kila mtu kwa namna yake. Na mie sjui nlikuwa nimelogwa nikawa nawasikiliza yule jamaa alivomaliza mwaka wa 3, alikuwa mbele yangu miaka 2 wakati huo mie nilikuwa mwaka wa 1. Baadae sasa keshamaliza chuo mie kanikosa wale room mate zangu nao hawakumpata maana hakuwapenda wao alinipenda mie, ndo anakuja niambia kuwa sikutaka kukugombanisha na room mate wako maana uliwaamini sana kuliko kujiamini mwenyewe. Ila wakati huo nilikuwa nampenda na mie jamaa ila jinsi room mate walivokuwa wanamponda nikampotezea huku moyoni naumia. Nikakosa mume hvhv hadi leo huyo kijana hajaoa kila akiniona ananiambia nimtafutie mke.........

duh pole saana...aisee
na mashosti ulipokutana nao uliwauliza?
 
Kaangalie deliver us from Eva! LOL

Binti akiwa na mashosti ni sumu mimi nilishajifunza zamani.
 
duh pole saana...aisee
na mashosti ulipokutana nao uliwauliza?

Asante, Hata sikuwauliza maana nao walitangatanga baada ya kuona hawatongozwi ila kila mmoja now anandoa yake, mmoja wa hao room mate zangu ndo alikuwa matron wa kuanzia kuchen party yangu, send off hadi harusi, mwingine alikuja kushuhudia tuu. Ila mie wala sikwenda kwenye harusi zao wala kuchangia. Na bado tunawasiliana kila mtu yuko na kazi yake ila sitakaa nije kuwaambia walichonifanyia maana hainisaidii tena.
 
sakapal umenikumbusha story moja ambayo niliiba prospective jamaa wa bidada mmoja hivi Moshi.
The girl alikuwa anajigonga sana for the guy aliyekuwa anakaa floor ya juu yetu. And she told me so, nikampa shavu, so siku moja akaniomba nimsindikize (that was her mistake); so nikamsindikiza tukapiga story mbili tatu, n then the guy akamuita dada room halafu within a minute or two; mkaka akaja living room na kuniambia he doesn't like my friend and he wants me.

Anyway, sikumpenda so SIKUMUIBIA na bidada hakufanikiwa. So huenda asingeenda na mimi wangefika somewhere, as people learn to love othersw when they get to know them better.

@
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom