Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......


siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

Mhhhhh! Boss umewaza nini hadi kuanzisha hii thread!? hahahahaha LOL! mie sitii neno langu 🙂
YouTube - LLOYD FT. LIL' WAYNE - YOU (OFFICIAL VIDEO) 🙂
 
ha ha ha finest unajua Gaga ni mke wa mtu asee tena mume wake namjua kuwa makini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom