Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Inabidi unaelezea ni adui kivipi na wapi watu wakaulizie na ujue Tanzania sio dar es salam tu huwenda mtoa post yupo kigoma
 
Kigoma hakuna kambi za jeshi? Akaulize hapo au kwa mshauri wa mgambo.
 
Watu ni wapumbavu sana humu, vitu vidogo vya kawaida wana vikuzakuza tu vionekane vya kutisha.
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.

Nadhani umejifunza kuwa ni hatari kwa usalama wa taifa kuanika mshahara wa kijeshi humu mtandaoni.
Moja ya habari ambazo mataifa wanaokuonea donge huzitafuta sana ni kujua wanajeshi wanalipwaje ili kujua morali wao.

Niwapongeze tu wana jf kwa ukomavu kuhusu masuala ya usalama wa nchi. Wamekufundisha uelewe.
 
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Rates za mshahara so siri. Tatizo ni kusema flani anapokea mshahara flani
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mshahara ni 800,000/= kwa mwanajesh private ndo anaanza kulipwa kiasi hicho
+300,000/= ration
Na pia huwa kuna posho nyingine ya vinywaji

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.

Japo nyuzi ni ya 2016 ila

Mshahara ni 800,000/= kwa mwanajesh private ndo anaanza kulipwa kiasi hicho
+300,000/= ration
Na pia huwa kuna posho nyingine ya vinywaji

Hao wenye degree sifaham aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa woote hawajui ni bla bla tu kaka achana nao...kwani mtu kuuliza salary ni kosa???
 
Kwa kizazi cha sasa hakuna mwenye wito na kazi yoyote bali mshahara.

Walikuwa na uzalendo ni akina msuguri maana hao walikuwa tayari kufanya kazi ya jeshi bila hata kulipwa chochote na wakaridhika. Miaka hiyo jeshi halikuwa na mishahara wala maripurupu ya kuvutia na ndio maana watoto wa masikini na watu wasio na connection ajira pekee ilikuwa ni jeshi.

Miaka hiyo watoto wa vigigo ama vijana wasomi usingeweza kuomba jeshi maana haikuwa kazi ya hadhi. Ilikuwa ni nadra sana kumkuta mwanajeshi anamiliki gari ama nyumba nzuri labda kuanzia cheo cha brigedia angalau.

Baada ya jeshi kuboreshwa miaka ya elfu mbili mwanzoni pamoja na ukosefu wa ajira ndipo vijana wakaanza kukimbilia jeshini wakivutiwa na mishahara bora na uhakika wa ajira.

Kwa hiyo tusidanganyane, mleta mada yuko sahihi sana mshahara mzuri ndio kigezo cha jeshi kupendwa.

Kuna wakati vijana wengi miaka ya kati ya elfu mbili vijana wengi waliacha jeshi na kujiunga TAKUKURU kwa sababu walikuwa na package nzuri kuliko jw.

We jiulize kwa nini polisi na magereza hawakimbiliwi zaidi ya mtu kwenda ilimradi kufuata ajira baada ya kukosa kwingine?
Kwa nini vijana wanapenda TRA,TPA,TCRC, TANROAD nk?

Jaribu siku hao unaoita wazalendo wakate mishahara ama wasilipwe uone tifu lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIPATI PICHA USA NA MABEBERU WENGINE
WAJUE MISHAHARA YA JESHI NI CHINI YA DOLLA 600 WANGENUNUA JESHI PLUS KILA KITU
 
Wew sio Kweliii takukuru anamzid mwanajeshi kwa mshahara

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
SIPATI PICHA USA NA MABEBERU WENGINE
WAJUE MISHAHARA YA JESHI NI CHINI YA DOLLA 600 WANGENUNUA JESHI PLUS KILA KITU
Hivi unafikiri hawajui!?? Mpaka vibunduki vyetu wanajua tunanunua wapi!!
 
Inategemea na Rank nikupe kwa uchache tu.

-Hawa Manjuka "MAKURUTI" - Recruit wanalipwa Kama Laki 9 hivi Jumla
-Mbavu za Mbwa - V moja mpaka V3 Wanacheza 1m - 1.2m
-Nyota 1 Mpaka Nyota 3 - Wanacheza na 2m
-Nenda na Range hiyo Tofauti ya laki 2 hadi 3 kila Rank,mPaka utafikia level za Mageneral.(Pia tambua kila level reshen,per diem,allowance zinategemeana na scale ya mshahara,resheni ya KURUTI na KEPTENI ni tofauti....kwahiyo nako kuna utofauti)
Mshara wa uhamiajiii
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Unataka kujua ili iweje, na ukishajua ufanye nini?
 
Back
Top Bottom