Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,256
- 64,377
Kuna mchongo ninausikilizia hapa
Unafua mboga 😁Mchunga majani ya sungura hayo, machungu kinoma hadi uyafue
Kama makato bado hii ngoma c itafika mpaka J3 kudadek..Makato bado mpk leo...hii ngoma ngumu
Why?Day 3 sijaenda job
Bank ganiKitu tayari
liongoBa
Bank gani
Enzi Mwinyi mishahara ilikuwa inakwenda mpaka siku 50🤣Kuna watu mtakufa njaa serikali yenu ya tz ikitoa public notice kwamba haina hela za kuwalipa wafanyakazi kwa miezi mitatu mfululizo.
Misiba itakuwa mingi sana.
Nasikia J3 ni birthday ya Mood kwahiyo lazima a struggle salary ipatikaneKama makato bado hii ngoma c itafika mpaka J3 kudadek..
Utoke na idadi ya vifoEnzi Mwinyi mishahara ilikuwa inakwenda mpaka siku 50🤣
Wapuuzi kama hawa wanatokea wapi?liongo
Hao si wanalipwa posho mara mbili😀😀Nipo hapa na wanajeshi Bar. Wana tambo hao, DJ anapiga mziki wanaotaka wao, yaani wamechafua meza mbaya.