Makato ya nn?Makato bado mpk leo...hii ngoma ngumu
Mpaka jioni mzigo utakuwa umesomaMakato tayari....sasa tusubiri mzigo wetu
bas muda si mrefu ngoja nitanguli minazini barMakato tayari....sasa tusubiri mzigo wetu
Smart911 hanaga mbambamba kabisa huyu mwanaume aishi sana.Ongea na smart akate mawe
Asante kwa mwongozo japo hapo nilikua nanukuu kauli za watoto vitu vikiishaga hasa tarehe dume maranyingi vitu hupenda kuisha kwa pamojaChukua Mshiko Fasta. Unateseka wakati hela zipo NMB
Ngoja tusikilizie hii weekend kam mama atachekaNasikia J3 ni birthday ya Mood kwahiyo lazima a struggle salary ipatikane
Mnapotesha umma kwa mkumbo nani aliesema kuajiliwa ni laana nani alithibitisha ukiajiliwa unakua masikini mimi ni mwajiriwa serikalini nimejenga nina magari matatu nina biashara ninatunza familia ya watoto wanne na wote wanasoma shule nzuri kwa ajira hiyo hiyo,umasikini ni akili yako sio ajira unazozipataHakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Una miaka mi ngap bro toka kuzaliwaMnapotesha umma kwa mkumbo nani aliesema kuajiliwa ni laana nani alithibitisha ukiajiliwa unakua masikini mimi ni mwajiriwa serikalini nimejenga nina magari matatu nina biashara ninatunza familia ya watoto wanne na wote wanasoma shule nzuri kwa ajira hiyo hiyo,umasikini ni akili yako sio ajira unazozipata
One of stupid questionUna miaka mi ngap bro toka kuzaliwa
Umeongea mengi sana bila break mkuu ndio maana nimekuuliza hivyo.One of stupid question
Makato ya madeni kama Heslb na bank loans....ukiingia ESS kwenye e-mikopo utaonaMakato ya nn?
Usijali kile kinachokunufaisha na kukupa faraja just do it, usiangalie nani anafanya nini na nani hafanyi nini au nani anapata zaidi angalia wewe na uweza wako kuna maisha mazuri sana watu hatuyaishi kwa kutazama nani anafanya nini anani anakosea wewe ishi mkuu na hakikisha unafanikiwa hilo ndiyo la msingiUmeongea mengi sana bila break mkuu ndio maana nimekuuliza hivyo.
Sasa ndugu yangu ukiujua umri wangu itakusaidia nini ndiyo maana nimeshangaa sana hilo swaliUmeongea mengi sana bila break mkuu ndio maana nimekuuliza hivyo.
Sawa ndugu haina shida kabisaaSasa ndugu yangu ukiujua umri wangu itakusaidia nini ndiyo maana nimeshangaa sana hilo swali