Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Muda wowote kuanzia sasa vitu vinasoma kaka, leo yenyewe nimeshindia mchunga hapa mdomo umevimba kama chai jaba.
Ni mboga dawa nzur sana. Ila lazima uyachuje hata mara 4 maji ya moto kuondoa uchungu. Unataka hela wakat hata majukum hujapandisha
 
Back
Top Bottom